Heri Hayati Magufuli alikuwa mkweli kuhusu kutoongeza mshahara kuliko Mama kuwaaminisha watumishi wa umma lakini mwisho wa siku hakuna kitu

Daisam

JF-Expert Member
May 23, 2016
2,626
3,141
Ndugu zanguni, siku ya mei mosi Mama aliwaaminisha watumishi wa umma kwamba kungekuwa na nyongeza ya mshahara, lakini walichokutana nacho leo, kila mtumishi analilia chumbani kwake, maana hakutegemea kabisa kwamba kusingekuwa na nyongeza hata kidogo.

RIP, Hayati Magufuli Mzalendo wa kweli na msema kweli.
 
Sasa Samia kaongeza salary mwaka Jana,kapandisha madaraja,kalipa arears,kafuta wizi wa Bodi ya Mikopo na katoa maelfu ya Ajira.

Huyo unaemsema hakuna kitu alifanya.Binafsi nashukuru Samia maana nimemaliza mkopo mwezi wa 6 na mwezi huu kibunda kimeongezeka ndio salary increase yangu hiyo
 
Hongereni watumishi, mpaka siku mkiamua kupiga chini kijani na njano
 
Sasa Samia kaongeza salary mwaka Jana,kapandisha madaraja,kalipa arears,kafuta wizi wa Bodi ya Mikopo na katoa maelfu ya Ajira.

Huyo unaemsema hakuna kitu alifanya.Binafsi nashukuru Samia maana nimemaliza mkopo mwezi wa 6 na mwezi huu kibunda kimeongezeka ndio salary increase yangu hiyo
Hayo yote kafanya, sawa. Kwanini sasa awadanganye wafanyakazi kuwa atawaongeza mshahara na increments? Kwani angesema kama wewe ulivyosema hapa angerogwa?
 
Ndugu zanguni, siku ya mei mosi Mama aliwaaminisha watumishi wa umma kwamba kungekuwa na nyongeza ya mshahara, lakini walichokutana nacho leo, kila mtumishi analilia chumbani kwake, maana hakutegemea kabisa kwamba kusingekuwa na nyongeza hata kidogo.

RIP, JPM Mzalendo wa kweli na msema kweli.
Yule mzanzibari sijawahi mwamini wala kumtumainia, nashangaa wafanyakazi kwa kumtumainia
 
Hayo yote kafanya, sawa. Kwanini sasa awadanganye wafanyakazi kuwa atawaongeza mshahara na increments? Kwani angesema kama wewe ulivyosema hapa angerogwa?
Sikiliza vizuri hapa 👇

Kuna sehemu amesema ataongeza salary? 🤣🤣🤣🤣
 
Ndugu zanguni, siku ya mei mosi Mama aliwaaminisha watumishi wa umma kwamba kungekuwa na nyongeza ya mshahara, lakini walichokutana nacho leo, kila mtumishi analilia chumbani kwake, maana hakutegemea kabisa kwamba kusingekuwa na nyongeza hata kidogo.

RIP, JPM Mzalendo wa kweli na msema kweli.
Weeeee,kweli bloangu?

Yaani hata hako kanyongeza alichojidai kukiongeza kiduchu tu kamemshinda ukiachana na ile nyingeza aliyojichanganya last year ya 23%?

Huyo bibi akalime mwano tu kwao kwa kweli hiyo 2025.

Hajui kitu
 
Asante mama. Naunga mkono kwa kutowaongezea mishahara hawa watumishi wa umma, maana tukienda maofisini mwao hawafanyi chochote, bali wanachezea simi tu.
 
Ndugu zanguni, siku ya mei mosi Mama aliwaaminisha watumishi wa umma kwamba kungekuwa na nyongeza ya mshahara, lakini walichokutana nacho leo, kila mtumishi analilia chumbani kwake, maana hakutegemea kabisa kwamba kusingekuwa na nyongeza hata kidogo.

RIP, Hayati Magufuli Mzalendo wa kweli na msema kweli.
Haa mana mnamwamini huyo bib mnaroho ngumu hasa
 
Sasa Samia kaongeza salary mwaka Jana,kapandisha madaraja,kalipa arears,kafuta wizi wa Bodi ya Mikopo na katoa maelfu ya Ajira.

Huyo unaemsema hakuna kitu alifanya.Binafsi nashukuru Samia maana nimemaliza mkopo mwezi wa 6 na mwezi huu kibunda kimeongezeka ndio salary increase yangu hiyo
Si alizikuta kuna hela zilizoachwa na mtafutsji ,yeye amepukukutisha hadi foreign reserve ,kutoka 6b - 3b ,
 
Hayo yote kafanya, sawa. Kwanini sasa awadanganye wafanyakazi kuwa atawaongeza mshahara na increments? Kwani angesema kama wewe ulivyosema hapa angerogwa?
Alifanya kwa kuwa hazina ilikuwa imejaa na foreign reserve za kutosha kwa sasa zimebaki 3b , aendelee kuongeze kama ana ubavu ..
 
Back
Top Bottom