JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,078
- 14,942
Dawa ya majizi ni kifo tu.
Hukulazimishwa kusoma. Huyu dhalim tutaendelea kumsema kwa udhalimu wake na hata kwa mazuri machache tutasema,wewe nani wa kutufunga mdomo?Mtateseka sana na Magufuli lihali yeye kashalala kwenye usingizi wa maisha.
Mods nyuzi kama hizi nikujaza Sever utumbo na mavi.
Leo hao wote ni marehem sasa uzi huu una faida gani kwa hivi leo...???
Magufuli amekuwa wimbo kah.
Kwani shida iko wapi...???
Mods nipeni kitengo cha Ban niwalambe majinga jinga kama huyu mtoa hoja.
Kumbe dhalim ana mjono kwenye mauti ya yule M'meto toka Msumbiji?Ondoa Mkapa hapo. Mkapa kufa kwake kuna mkono wa Magufuli. Mkapa alishakuwa mwiba kwa Magufuli kuhusu kuondoa ukomo wa muda wa kutawala wa miaka mitano kwa vipindi viwili. Mkapa alikwisha weka wazi msimamo wake juu ya katiba na Tume Huru ya Uchaguzi. Hivyo vitu vilikuwa vinamkera magufuli
Kama hii theory yako iko valid basi dhalim ndiye muuaji.What if walimuua ili kuficha jambo fulani, just a balance reminder, never ignore what if, mengine tuyaache
Dhalim alipita nayeHuyo walimuua, hakuna cha pressure wala nini ...!!
Ndiye yeye huyoNani huyu jamaa wa kigoma au??
Nnai huyu we unautani na watu wa Kigoma nn maana ndio lugha yao hiyoMwendazake kaponza wengi, mmoja aliponea chupuchupu dk ya 90 akarudi duniani dadadeq
Ilibaki kidogo asababishe kifo cha kiongozi mmoja kwa kumlazimisha afanye press kudanganya haumwi hili hali kovidi ilikua imemkaba akaanza kukohoa hadi kamera zikazimwa upesi, behind the scene akarudishwa kwenye mtungi wa oxygen kumnusuru.Mwendazake kaponza wengi, mmoja aliponea chupuchupu dk ya 90 akarudi duniani dadadeq
Haha huyu kaachiwa gunia la chawa linamuwasha balaa,Sabaya anajuta kumfahamu magufuli
Ilibidi arudishwe kwenye oxygen upesi na press ikaishia pale 😀Nani huyu jamaa wa kigoma au??
Ila jiwe alikuwa katili sana,alihatarisha maisha ya mtu ili kulinda uwongo wake wa kishamba. Uzuri covid aliyokuwa anaidharau ikaja kumfyekelea mbali.Ilibaki kidogo asababishe kifo cha kiongozi mmoja kwa kumlazimisha afanye press kudanganya haumwi hili hali kovidi ilikua imemkaba akaanza kukohoa hadi kamera zikazimwa upesi, behind the scene akarudishwa kwenye mtungi wa oxygen kumnusuru.
Jpm ana bahati mbaya Sana. Nyerere anasifiwa kila Kona ya nchi na hakuna anayemsema vibaya kwa lolote lakini jpm anaandamwa kila kitu. Hilo ni funzo kubwa sana kwamba tuwsiwe Kama yeye kwa kujitakia sifa at the expense of other's sufferings.Mtateseka sana na Magufuli lihali yeye kashalala kwenye usingizi wa maisha.
Mods nyuzi kama hizi nikujaza Sever utumbo na mavi.
Leo hao wote ni marehem sasa uzi huu una faida gani kwa hivi leo...???
Magufuli amekuwa wimbo kah.
Kwani shida iko wapi...???
Mods nipeni kitengo cha Ban niwalambe majinga jinga kama huyu mtoa hoja.