Hayati Dkt. Magufuli aliligeuza suala la Wamachinga kuwa mtaji wake wa kisiasa

Ikumbukwe kuwa wakati wa utawala wake alijaribu sana kucheza na akili za watu, hasa akitumbukiza neno la Watanzania wanyonge.

Ni yeye huyu huyu alitoa amri kuwa wamachinga watafutiwe maeneo maalum ya kufanyia biashara zao, na ukweli ni kwamba zoezi hilo lilianza na kukatokea mtafaruku mkubwa sana kati ya wale walio lisimamia Hilo zoezi na wamachinga wenyewe.

Na alipogundua kuwa amefeli kwa hilo, akaja na sera yake ya kisiasa kuwa hao watu wasibughudhiwe kwani ndio walio mpatia kura nyingi kwenye uchaguzi, (na kuna clip ili tembea sana mitandaoni akiwa anaongea huyu huyu mama Samia juu ya hao wamachinga kwamba ndio waliowapa kura) bila ya wao kujua kuwa alikuwa ana waanda kwa uchaguzi unao fuata kwani alishaona, na Kama sio kuwa na mashaka kuwa atashindwa kwenye uchaguzi huo.

Kiujumla alishindwa kwenye zoezi la kuwaondoa wamachinga.

Mama na Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan amefaulu kwa hilo, miji imekuwa misafi na wafanya biashara walio tii na kuelekwa kwenye maeneo elekezi wanaendelea na biashara zao bila bughudha.

Haya ni mafanikio kwa Serikali ya awamu ya sita. Ambayo serikali ya awamu ya tano ilishindwa kuyafikia.

HONGERA AWAMU YA SITA KAZI IENDELEE
WAMACHINGA SI WAPIGA KURA
SISI WANA CCM NDIO WAPIGA KURA KWA SABABU HATUBADILIKI KWA SOUND ZA WANASIASA,MWANASIASA HUWEZA KUTUMIA LUGHA LAGHAI AKAWACHOTA WOTE AMBAO UNADHANI NDIO WAPIGA KURA WAKO.
 
Haya 2025 tutauona na nyie mtaji wenu,eti awamu hii imefanikiwa!kweli? Mwanza vijana wanalia hawajui pa kwenda wewe unakenua meno kafanikiwa?
 
Ikumbukwe kuwa wakati wa utawala wake alijaribu sana kucheza na akili za watu, hasa akitumbukiza neno la Watanzania wanyonge.

Ni yeye huyu huyu alitoa amri kuwa wamachinga watafutiwe maeneo maalum ya kufanyia biashara zao, na ukweli ni kwamba zoezi hilo lilianza na kukatokea mtafaruku mkubwa sana kati ya wale walio lisimamia Hilo zoezi na wamachinga wenyewe.

Na alipogundua kuwa amefeli kwa hilo, akaja na sera yake ya kisiasa kuwa hao watu wasibughudhiwe kwani ndio walio mpatia kura nyingi kwenye uchaguzi, (na kuna clip ili tembea sana mitandaoni akiwa anaongea huyu huyu mama Samia juu ya hao wamachinga kwamba ndio waliowapa kura) bila ya wao kujua kuwa alikuwa ana waanda kwa uchaguzi unao fuata kwani alishaona, na Kama sio kuwa na mashaka kuwa atashindwa kwenye uchaguzi huo.

Kiujumla alishindwa kwenye zoezi la kuwaondoa wamachinga.

Mama na Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan amefaulu kwa hilo, miji imekuwa misafi na wafanya biashara walio tii na kuelekwa kwenye maeneo elekezi wanaendelea na biashara zao bila bughudha.

Haya ni mafanikio kwa Serikali ya awamu ya sita. Ambayo serikali ya awamu ya tano ilishindwa kuyafikia.

HONGERA AWAMU YA SITA KAZI IENDELEE
Kama ilivyokuwa kwa upinzani kwatumia wamachinga na bodaboda 2015 na kushinda majiji makubwa karibu yote.
Kipindi hicho hamkuliona hilo?
 
Haya ni mafanikio kwa Serikali ya awamu ya sita. Ambayo serikali ya awamu ya tano ilishindwa kuyafikia

Acheni unafiki ,mtasemaje kuwa zoezi limefanikiwa wakati wamachinga wameondoka sehemu za Kariakoo na Samora tu ili hali huku wilaya ya Kinondoni sehemu za Mbezi Beach bado wamejaa kwenye residetial plots? Njooni Mbezi Beach Barabara inapyokwenda EFM studios utaona Wamachinga wanavyohatarisha maisha kwa kuchoma vyuma barabarani tena kwenye kona ya barabara ambayo wakati wowote ajari mbaya yaweza kutokea.! Kuwa na biashara kwenye residential plots siyo sehemu rasmi za kufanya biashara kwani mapato hayaendi kwenye halmashauri bali kwa wajajnja wachache.

Amos Makalla bila kutembelea na kuwaondoa Wamachinga kwenye residential plots utakuwa unamuhadaa mama Samia na kazi itakuwa imekushinda!!!
 
Asante.

Ila fanya mengine. Usiandamwe na mzimu wa marehemu. Keshakufa na na hajui lolote.
Shida zetu ziko palepale tuwapelekee walio hai.

Kumbukumbu ni muhimu kwa mema hata kwa mabaya, hadi leo bado tusoma maovu ya Iddi Amin Dadaa, Adolf Hitler, Ngwabi Sasongweso, akina Noriega na wengine wengi tu kiongozi.
Kama ulitenda mema wakati wa uhai wako, jamii inayo baki itakukumbuka kwa mema , Kama ni kwa maovu pia hivyo hivyo.
 
Hiyo pesa inayozikwa Dodoma kwa kisingizio cha makao makuu kama ingewekezwa kwa wafanya biashara ndogo ndogo kama machinga n.k tungesonga mbele kama taifa.Lakini kama mtoa hoja alivyosema ilikuwa ghiriba ya mjomba Magu.
 
Acha nchi itanuke.

Maendeleo ya Tanzania hayawezi kuwa Dar peke yake..
 
Ikumbukwe kuwa wakati wa utawala wake alijaribu sana kucheza na akili za watu, hasa akitumbukiza neno la Watanzania wanyonge.

Ni yeye huyu huyu alitoa amri kuwa wamachinga watafutiwe maeneo maalum ya kufanyia biashara zao, na ukweli ni kwamba zoezi hilo lilianza na kukatokea mtafaruku mkubwa sana kati ya wale walio lisimamia Hilo zoezi na wamachinga wenyewe.

Na alipogundua kuwa amefeli kwa hilo, akaja na sera yake ya kisiasa kuwa hao watu wasibughudhiwe kwani ndio walio mpatia kura nyingi kwenye uchaguzi, (na kuna clip ili tembea sana mitandaoni akiwa anaongea huyu huyu mama Samia juu ya hao wamachinga kwamba ndio waliowapa kura) bila ya wao kujua kuwa alikuwa ana waanda kwa uchaguzi unao fuata kwani alishaona, na Kama sio kuwa na mashaka kuwa atashindwa kwenye uchaguzi huo.

Kiujumla alishindwa kwenye zoezi la kuwaondoa wamachinga.

Mama na Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan amefaulu kwa hilo, miji imekuwa misafi na wafanya biashara walio tii na kuelekwa kwenye maeneo elekezi wanaendelea na biashara zao bila bughudha.

Haya ni mafanikio kwa Serikali ya awamu ya sita. Ambayo serikali ya awamu ya tano ilishindwa kuyafikia.

HONGERA AWAMU YA SITA KAZI IENDELEE
Mukua umeliweka vizuri sana. Na kwa mfano huo ndivyo Magufuli alivyo exploit ujinga wa Watanzania na ukawa mtaji wake wa kutawala.

Nampongeza Rais SSH kwa kuwa mkweli na kufanya yaliyo kweli. Bora ufanye mema ukose kura kuliko kufanya maamuzi ya kukufanya maarufu
 
Unaishi wapi? Uko TZ au uko nje ya nchi? Kama uko nje ya nchi yaonekana huijui TZ. Yaani unapima mafanikio ya rais kwa kuondoa Machinga, kwani ni uchafu? You must be part of foolish gamers.

Machinga ni jambo complex kuliko unavyoeleza. Siyo jambo la kukurupuka na kuandika JF kwa kujidai unalifahamu sana, na kutoa pongezi kwa Samia! Machinga walianza tangu awamu ya pili. Jiulize kwa nini idadi yao inaongezeka kila mwaka, Angalia umri wao. Angalia masoko yao na bidhaa zao.

Usilifanye kama ni jambo ambalo kuna rais analiweza sana. Samia unayemwita mpendwa wako, hana uwezo nalo na hata akiwaondoa hajatatua tatizo kama rais wa nchi kama hatajiuliza kwa nini machinga wako mijini.
 
Mukua umeliweka vizuri sana. Na kwa mfano huo ndivyo Magufuli alivyo exploit ujinga wa Watanzania na ukawa mtaji wake wa kutawala.

Nampongeza Rais SSH kwa kuwa mkweli na kufanya yaliyo kweli. Bora ufanye mema ukose kura kuliko kufanya maamuzi ya kukufanya maarufu
You mean tuna rais mjinga? Rais ni mwanasiasa na kama kuna mwanasiasa asiyetaka kuwa maarufu, S/he qualifies to author a book entitled STUPIDITY:
 
Wewe Patriot ndiyo mjinga, you didn't read and understand..
Umaarufu unaupata kwa matendo gani? Mema au mabaya?

Maana hata ukinya sokoni mchana utakuwa maarufu kama mtu aliyekunya sokoni mchana
 
Ikumbukwe kuwa wakati wa utawala wake alijaribu sana kucheza na akili za watu, hasa akitumbukiza neno la Watanzania wanyonge.

Ni yeye huyu huyu alitoa amri kuwa wamachinga watafutiwe maeneo maalum ya kufanyia biashara zao, na ukweli ni kwamba zoezi hilo lilianza na kukatokea mtafaruku mkubwa sana kati ya wale walio lisimamia Hilo zoezi na wamachinga wenyewe.

Na alipogundua kuwa amefeli kwa hilo, akaja na sera yake ya kisiasa kuwa hao watu wasibughudhiwe kwani ndio walio mpatia kura nyingi kwenye uchaguzi, (na kuna clip ili tembea sana mitandaoni akiwa anaongea huyu huyu mama Samia juu ya hao wamachinga kwamba ndio waliowapa kura) bila ya wao kujua kuwa alikuwa ana waanda kwa uchaguzi unao fuata kwani alishaona, na Kama sio kuwa na mashaka kuwa atashindwa kwenye uchaguzi huo.

Kiujumla alishindwa kwenye zoezi la kuwaondoa wamachinga.

Mama na Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan amefaulu kwa hilo, miji imekuwa misafi na wafanya biashara walio tii na kuelekwa kwenye maeneo elekezi wanaendelea na biashara zao bila bughudha.

Haya ni mafanikio kwa Serikali ya awamu ya sita. Ambayo serikali ya awamu ya tano ilishindwa kuyafikia.

HONGERA AWAMU YA SITA KAZI IENDELEE
Suala la machinga ni gumu wewe usimsifie mama kabla. Utaona si muda mrefu machinga watazagaa tena na ndio hapo mnaanza kufukuzana nao na virungu jambo ambalo sio zuri. Hii imetokea mara nyingi.
Magufuli alijua suala la machinga linahusika kunyanyua uchumi wa wananchi kiujumla ili waweze kuendesha uchumi wenye maslahi bila kulazimika kukimbilia mijini. Ndio maana akawa anapigana kulinda na kuendeleza maslahi ya umma.
 
Wewe Patriot ndiyo mjinga, you didn't read and understand..
Umaarufu unaupata kwa matendo gani? Mema au mabaya?

Maana hata ukinya sokoni mchana utakuwa maarufu kama mtu aliyekunya sokoni mchana
Naomba tena nikueleze; unajadili mambo yanayokuzidi uwezo. Huna 'thinking' ya mjadala huu. Samia hajui jinsi gani atengeneze ajira kwa vijana. Ukishaelewa hilo fahamu Machinga, liko nje ya uwezo wa wanasiasa wetu wote! It is beyond Samia's comprehension, immensus!
 
Tatizo la ajira kwa vijana siyo maudhui ya Uzi huu. Ila kama una hasira ya kuwa JOBLESS ruksa kumalizia hasira zako kwenye thread hii. Mjadala unahusu namna Magufuli alivyowatumia machinga kama mtaji.

Unakaa kwa Shemeji kutwa kuangalia TV bure bila kujishughulisha halafu Samia akutengenezee ajira? Wenzio wanatukia social media kutengeneza ajira, wewe unatumia kutukana. Utasubiri sana ajira
 
Suala la machinga ni gumu wewe usimsifie mama kabla. Utaona si muda mrefu machinga watazagaa tena na ndio hapo mnaanza kufukuzana nao na virungu jambo ambalo sio zuri. Hii imetokea mara nyingi.
Magufuli alijua suala la machinga linahusika kunyanyua uchumi wa wananchi kiujumla ili waweze kuendesha uchumi wenye maslahi bila kulazimika kukimbilia mijini. Ndio maana akawa anapigana kulinda na kuendeleza maslahi ya umma.
Kwani sasa wamezuiwa kufanya biashara ? Au wamezuiliwa kuuinua huo uchumi ? Kama watu wanatoka kufuata masomo maeneo Mahalia basihata hao wamachinga watafuata kwenye maeneo yao. Kama soko la mitumba Ilala lilozoeleka Hadi watu wakawa wanatoka sehemu mbali mbali za jiji na kulifuata sembuse wamachinga, lazima jamii inayo jitambua iishi kwa utaratibu.
 
Back
Top Bottom