Hayati Dkt. Magufuli alikuwa akiwaza nini?

Nimekuwa nikisema kuwa
Hawa wanao mchafuwa magufuli sio eti wanapenda bali kuna kitu ambacho wanaona in the future will be different that why wanafanya nguvu ili kuzima nyota ya magufuli

My friend siku zote wanasema if God says yes no one can’t say No
Naona munajisumbuwa bure
Na Magufuli mwenyewe alisema kuwa ukiona
Adui anakupigia makofi ujuwe kuna mahali umekosea rundi nyuma ukatengeneze tena upya
But when you see your enemy talk bad thing about you
You have to know that you made good thing
Sasa kwa maneno haya we suprisedn’t you to talk bad about Magufuli
Because we know you were his enemies

Mkija na maneno mengi saana eeee magu mbaya magu alikuwa jambazi
We will ask you why you don’t talk about an others president of Tanzanie
Who were before Magufuli?
My friend magufuli was the way of africain prosperite he wanted to show us that we can with out white peoples
We don’t need help from them we need colaboration with them

Ok i’m not suprise because even jesus walimkataa kwao siku zote nabii akubaliki kwao

But jamaa alikuwa Nuru ya tanzania
Kataa kubali magufuli was the light of Tanzania

Any leader ambaye atakuja na falsafa za magufuli kwenye asilimia 100% za kushinda urais ana 95% za kushinda na 5% za kushindwa ninyi jengeni chuki tu lakini mwenzenu tayari amesha maliza kazi zake
Na kuondoka kwake duniani ni plan ya Mangu maana amesha maliza kazi yake tayari ya kukomboa mtu mweusi
Kataa au ukubali
Magufuli was the prophet of God
 
👆👆👆👆👆😝😝😝😝
 
unapomlisha mtu maneno ya kufanya kana kwamba kasema yeye ni dalili ya kwanza ya kuwa na tatizo la akili, muone daktari

Magufuli kwa mdomo wake alisema sitaongeza kipindi kilichobakia madarakani, sasa wewe haya uliyatoa wapi??
 
WATU WAMEKOMAA NA MAGU ANAANDIKWA KWELI HUMU KWA MAZURI NA MABAYA.ILA MAGU KWA KWELI ALIKUWA NA ROHO YA KINYAMA UKWELI LAZIMA TUSEME
images (3).jpeg
 
WATU WAMEKOMAA NA MAGU ANAANDIKWA KWELI HUMU KWA MAZURI NA MABAYA.ILA MAGU KWA KWELI ALIKUWA NA ROHO YA KINYAMA UKWELI LAZIMA TUSEME
Wakati fulani, nashindwa kumlaumu88 marehemu. Mawazo yangu yananipeleka zaidi kuamini kuwa alikuwa mgonjwa, na mgonjwa ni wa kuonewa huruma badala ya kulaumiwa. Watu wa kulaumiwa ni Mkapa na Kikwete, kwa sababu kwa vyovyote walikuwa wanajua kila kitu. Kwa nini waruhusu mgojwa apewe madaraka ya juu kabisa katika nchi?

Kwa kawaida, magonjwa ya akili ni nadra sana kupona kwa 100%. Hata wanaodaiwa kupona, mara nyingi, wakati fulani wanakuwa vizuri, na wakati fulani hufanya mambo yanayoashiria bado kuna tatizo.

Hata marehemu, kuna wakati alikuwa anaongea vizuri na kuonesha utu, lakini wakati fulani ilionekana dhahiri mambo anayotamka na anayotenda, hayakuashiria mtu na hasa kiongozi aliyekuwa timamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom