Hiyo budget hawachelewi kutwambia ni 500,000 tu. Alafu tukapiga makofi.Tulikuwa na Mabomu Kule Arusha
Kuna kesi ya Kina Kileo kule Igunga
Sasa Tunataka pia thaminini ya safari nzima na bajeti iliyotumika kusafisha mabarabara ,kuprint kanga Nk imetoka wapi na itafidiwa vip ?
Hapana banaa,... tuliishia kwenye ile story ya yule jamaa --------
Kabla hajuaendelea! Hvi jana pale kwenye "press conference" Obama alikua akimwelewa kweli JK? Au alitoka kapa, na kupewa ufafanuzi wa majibu yake baadae??
......Rafiki yake Sugu yule mmemsahau tena?
daa wabongo bana?? Mbona mimi nilimuelewa ila maneno machache 2.
Niweke wazi hili kabisa: Kwa yeyote ambaye anafikiria matokeo hasi juu ya ziara ya Mh. Obama hapa Africa na Tanzania kwa ujumla, atakua anakosea. Ili nchi a Africa ziendelee lazima zijifungamanishe na nchi za dunia ya kwanza. Tuna mali sawa,lakini huna mtaji, huna teknolojia sahihi,huna soko la uhakika,huna viwanda na pia umasikini umetamalaki;utatumiaje hio mali yako> lazima tuliwe ili tule,upende usipende.
Sasa jamani, turudi kwenye maisha yetu ya kawaida tu hapa bongo_majungu,fitna,matumii ya nguvu a polisi, ufisadi, kesi mahakamani, na wabunge kama mpo mseme lolote kutokana na bajeti yetu manake Mh Obama ametufanya tusahau hata bajeti yetu
Bado lile deki lililopigwa kwa heshima ya Ob linang'aa, subiri kesho wale wafanyabiashara wa mataa ya ubungo na kwingine watakapoanza kazi rasmi. Ile miavuli katikati ya barabara pale manzese ndio inafungwa jioni hii. Yaani kesho tutakuwa kwenye tanzania yetu yenye kila aina ya vitimbi.
"I think the.....the issue of satisfied with MCC should have com....should have been asked me..." J.k
Hapa tulielewana??