daa wabongo bana?? Mbona mimi nilimuelewa ila maneno machache 2.
Hapo kwenye bold: mimi nimeshindwa kukuelewa wewe..........................!!!???
daa wabongo bana?? Mbona mimi nilimuelewa ila maneno machache 2.
Hapo kwenye bold: mimi nimeshindwa kukuelewa wewe..........................!!!???
nilielewa mambo machache kuwa baba miraji ni dhaifu na waziri mkubwa ni.....
Niweke wazi hili kabisa: Kwa yeyote ambaye anafikiria matokeo hasi juu ya ziara ya Mh. Obama hapa Africa na Tanzania kwa ujumla, atakua anakosea. Ili nchi a Africa ziendelee lazima zijifungamanishe na nchi za dunia ya kwanza. Tuna mali sawa,lakini huna mtaji, huna teknolojia sahihi,huna soko la uhakika,huna viwanda na pia umasikini umetamalaki;utatumiaje hio mali yako> lazima tuliwe ili tule,upende usipende.
Sasa jamani, turudi kwenye maisha yetu ya kawaida tu hapa bongo_majungu,fitna,matumii ya nguvu a polisi, ufisadi, kesi mahakamani, na wabunge kama mpo mseme lolote kutokana na bajeti yetu manake Mh Obama ametufanya tusahau hata bajeti yetu
chama ama nani?