Jc Simba
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 300
- 423
Leo Aliyekua Waziri Wa habari ametumbuliwa lakini stori inaanza kwa mjadala Wa kashfa ya kufoji vyeti na mkanganyiko Wa mmoja Wa wateule ambaye amejichukulia umaarufu hivi karibuni kwenye vyombo vyeti vya habari.
Mchungaji Gwajima anaonekana kuisimamia zaidi na kulinda katiba pamoja na kwamba hajawahi kula kiapo pale anapojaribu kuzungumzia kosa la kugushi vyeti kwa mteule huyo. Ingawaje habari hiyo haipewi kipaumbele sana kwa vyombo vyeti vya ulinzi na usalama kuhakikisha tuhuma hizo ni za kweli au ni uongo.
Mambo yanaendelea na Gwajima anatengenezewa zengwe na mteule huyo kwa kupata clip inayozaniwa itamchafua kama igizo Fulani hivi ila kituo cha Clauds wanakataa kiurusha kwa kuwa haikidhi vigezo na masharti . Mteule kwa mujibu Wa tume anavamia kituo cha Clauds baada ya kuona haijafanyika alivyotaka na hapa ndipo tume inaundwa.
Tume inazungumza ukweli ila Waziri Wa habari anaondolewa .
Nachojiuliza ni kuwa kuna Mengine nyuma ya Pazia au ni haya ya Vyeti, Vyeti ,Vyeti