Haya yanayosemwa kuhusu wanawake wa kipare yana ukweli?

Mimi nina bosi wangu mpare ana roho mbaya sana, na tabia zote zilizotajwa hapa za anazo, ila sijajua kama ni tabia zake tu au ni kwa sababu ya upare, lakini cha kushangaza anasema kuwa hatakubali mtoto wake aoe mpare kwa sababu hapendi tabia zao. Jamani huyo anayeongea hivyo ni mpare pure

Mwanamke au Mwanaume?

Jamni kuna combination hapa sijui inakaaje! mmh ina naopoga kutangaziwa Jihad!
 
Wapare ;- wabahili na wachoyo..
Wakurya na Wasukuma;- hawawaheshimu wanawake zao, mwanamke hana usemi.
Wachaga wa machame ;-wanapenda mali na pesa,. Matapel likija suala la mali au pesa..
Wasambaa/wazigua/tanga kwa ujumla:- wana mapenzi na wavumilivu (a kind heart)..
Wahaya ;- wanaume-wanajisifia sana, wanawake-hawana msimano...
Wamasai:-wanawake-wanaheshima na wanamwona mwanaume km Mungu.

Ongeza......
Wanyiramba/wanyaturu-malaya, wachawi,wachoyo, wanaua wanaume ili warithi mali........
ila hapo kwenye red sio kweli, wapare sio wachoyo kabisa, atakunyima hela lakin chakula na pa kulala atakupa bure hata kwa mwaka mzima! nenda upareni utahakikisha hili
 
Mwambie huyo mwenzio nyumba na mali ni urithi mtu apewao au apatao kwa babaye bali mume au mke mwenye busara mtu hupewa na Mungu kumbuka Mungu ndie kaumba makabila yote na yote yanafaa penngine tabia ya mtu na sio kabila kama anampenda na amwoe
 
Waapare kwa kichaga waapige wale walifukuzwa uchagani sababu ya uvivu na umalaya!
 
Wapare si wabahili wala wachoyo. Wapare ni WACHUMI, swala la uzinzi na uchawi ni la mtu binafsi na ieleweke kuwa hakuna kabila llt tz lisilo na wachawi wala wazinzi, kwa mfano zamani wachaga walikua wanasifika sana kwa kutokua na tabia za kishirina na umalaya lakini sasa baadhi WANATOA NDUGU ZAO KAFARA ILI WAPATE UTAJIRI, na baadhi ya wadada siku hz wapo juu kwa uzinzi.
 
Wapare si wabahili wala wachoyo. Wapare ni WACHUMI, swala la uzinzi na uchawi ni la mtu binafsi na ieleweke kuwa hakuna kabila llt tz lisilo na wachawi wala wazinzi, kwa mfano zamani wachaga walikua wanasifika sana kwa kutokua na tabia za kishirina na umalaya lakini sasa baadhi WANATOA NDUGU ZAO KAFARA ILI WAPATE UTAJIRI, na baadhi ya wadada siku hz wapo juu kwa uzinzi.

huo uchumi kwa wasioelewa ndiyo unaitwa ubahiri
 
Mie nnachojua ni kuwa hao jamaa wanajua 'kupiga mashine' mfano hakuna, na hii inatokana na minjemba yao kuendekeza matumizi ya 'viagra' za kiasili zinazotokana na mitishamba. Nilishuhudia hilo wakati nilivyokuwa field mkomazi game reserve. Jamaa walikuwa wanayapasha moto juani maji na usiku wanaingia village. wakirudi ni simulizi hizo kwa kwenda mbele.

ya kweli haya?
 
Uzi upo too general!
Tabia ya mtu inategemea sana makuzi kwa maana ya sehemu ambayo muhusika amekulia; mfano wa wapare wenye tabia za kizaramo kwa sababu wamekulia uzaramo na ku-adapt tabia kutokana na mazingira!

Kwa hiyo mazingira ya makuzi ya muhusika ndio hasa determination ya baadhi ya elements za tabia atakayokuwa nayo!

Kwa sasa ni hayo tu!
 
Back
Top Bottom