Haya yanayosemwa kuhusu wanawake wa kipare yana ukweli?

Ni kweli kuh uchoyo na nina experience na qatu wa hivyo. Ushirikina ni aina ya mtu mwenyewe pamoja na aina ya marafiki mtu yeyote anaqeza kuwa.
 
Mimi ni mmoja kati ya watu wasioamini kama kuna uhusiano kati ya kabila na tabia za mtu. Kuna rafiki yangu ana mpenzi ambaye ni Mpare na wamedumu naye kwa miaka kadhaa sasa. Sasa huyu jamaa amekuwa akisikia maneno mengi kuhusu wapare, na toka kaanza kusikia hajawah kutana na anayetoa sifa nzuri. Wengi wanadai ni wachoyo, jeuri na washirikina na mengine yanayofanana na hayo. Je ni kweli haya yanayozungumzwa yapo? Jamaa kapata hofu mapema na mpaka sasa hajielewi. Naombeni busara zenu waungwana

kam huamini kwanini umeuliza?hicho usichokiamini ndo jibu
 
Back
Top Bottom