Haya yamekuwa maisha yangu ya mapenzi

Haya yamekuwa maisha yangu ya mapenzi

Una Miaka mingapi kwanza?
Hayo mambo babazako tulifanya miaka ya 90 na hatusemi.
 
Nashukuru kaka ntajitahidi kufata ushauri wako
Maisha ya duniani mtu anavyozidi kuumizwa moyo wake unajijenga magamba na kuwa na moyo mgumu yani no feelings .pole mkuu jitahidi hiyo hali ikutoke, jitahidi kufuatilia mambo ya dini inasaidia. Nakuakishia kuna mtu alizaliwa kwa ajili yako kama vile eva kwa adamu angalia usijepoteza moyo wako kwa kwa wapita njia wasiokuwa na maana
 
Daah thanks so much ila mi kwangu issue nikua huyo mwanamke sikudate nae na maumivu hayo na mateso ni kipindi ambacho nlikua namtongoza

So hii ishu imekaaje na sijawah kuwaza kua nae tena kifupi ni kua nnachowafanyia wanawake kwa sasa hata nikimpata yeye ntamfanyia kama wenzake
Bado hauamini kwamba amekuacha, kitu kilichopelekea ubongo wako kutafuta namna ya kukabiliana na uhalisia na njia rahisi ukaona ni kujihusisha na mahusiano ambayo mwisho wake ni kumuumiza unaye date naye ili kujifariji na pia kuona umelipiza kisasi kwa yaliyotokea kwako.

Kifupi tu bado unampenda x wako na ila kumrudia ndiyo haiwezekani (upo desparate) ,sasa unachokifanya ni kibaya kwa mustakabali mzima wa mwili na akili yako maana kuna stage za majonzi(grief) lazima upitie na si lazima upitie zote kwa pamoja maana inategemeana na umekua kwa kiwango gani (kimapenzi) .

Na nilichoona ni kwamba huyo mpenzi wako ulimpenda sana so naweza kusema ndo mwanamke wako wa kwanza kumpenda hivyo(simaanishi wa kwanza ku sex naye ,japo inaweza nikawa sawa pia.)

Kwa hvyo cha kufanya achana na hyo tabia ya ku date hovyo na kuwaumiza hao ke kisha tafuta hobby au kama ni kazi concetrate sana kazini kisha KUBALIANA NA HALI na ukijiskia kulia lia cha msingi acha hisia zako ziwe huru utajikuta una improve kila muda unavyozidi kwenda who knows ? Inaweza kuchukua mwezi ,miezi,mwaka lakini utapona tu .

Kwa muda unao heal jaribu kujiepusha na mahusiano mapya .

Am out.
 
Mwaka 2013 niwazi nilikua nipo kwenye level ya juu kabisa ya mapenzi na nlipitia mahusiano yaliyovunja moyo wangu,nilikosa Furaha,sikuwahi kuhisi kuumia kama kipindi kile, nililia kama mtoto usiku tena nikiwa peke yangu,Nilikua sina hamu ya kukutana na jamii inayonizunguka sababu ya mapenzi, kiufupi nilijiona sina maana na kuhisi nanyanyasika , nashukuru Mungu sikujiua.

Sasa haya maisha ndo ninayoishi kwenye mahusiano na wanawake nlowapitia toka 2014.

1.Nimekua sioni raha kwenye mahusiano wala sioni kama nna hisia sahihi za mapenzi.

2.Nimedate na wanawake zaidi ya 60 na kulala na wanawake zaidi ya 40.

3.Nimekua sijui kuchagua kama zamani saizi mwanamke yoyote ambae sio ndugu yangu hata uwaje mi napeleka moto.

4.Hata mwanamke awe mrembo kiasi gani akiwa kwenye mahusiano na mimi awe tayari kuachwa na wala mimi sitaumia kwa kumpoteza.

5.Nimekua muongo kwa maneno matamu kiasi kwamba wanawake wanaopata mkosi wa kukutana na mimi hua wananiona ni husband material.

6.Nimekua sithamini mahusiano ya watu kiasi kwamba nimetembea na madem wa washkaji zangu tena kwa kuwatongoza na ikitokea wana wamejua naona kawaida.

7.Ninaweza kua na mahusiano na wanawake zaid ya watatu kwa mda mmoja na hakuna mwenye anaeweza kuniendesha kihisia na mara nyingi hawawezi juana hata kama wapo mtaa mmoja.

8.Nimewekeza muda mwingi kwenye kutafuta pesa na kuwaza ni jinsi gani nitakuwa milionea na hakika mimi nitakuwa milionea mkubwa.

9.Nainjoi kuona wanawake nnaodate nao jinsi wanahisia na mtu ambae hana malengo nao yaani mimi.

10.Nimekua nikijitolea sana kwenye uwanja wa mapenzi walopata mkosi wa kushughulikiwa na Mimi hili wanalijua.

11.Ni ngumu mimi kumtamkia mwanamke kua tuachane na ikitokea nakuwa sipo serious kwan hua nipo tayari kuirudia papuchi ya X wangu...MIMI HUYO
Nikipata vingine nitaongeza.

Sio kwamba napenda kua hivi ila niukweli kua 2013 mngeweza kusikia kuna mtu kajiua kisa mapenzi na kwa kua yupo hai basi mwaka huo hisia zake zilikufa na bado hajaona wa kuzifufua na yeye wala hahitaji hisia zifufuke kwan hataki kupitia yale mateso tens.
Pole sana mkuu,unahitaji maombi kwa kweli,issue ni kwamba katika hao madem 60 uliotembea nao kuna mmoja alikuwa jini ndo kakutupia huo mkosi baada ya kumtema.
Kakufanyia hivyo ili usianzishe maisha ya familia uwe Mzee Wa kuwagonga tu,mwisho Wa Siku ufe na ngoma.

Ni sawa na baadhi ya walevi Wa kupindukia wengine wamechezewa wawe walevi mbwa.

Kaombewe mkuu nenda hata kwa mwamposa ukanyage mafuta upate kupona hill eneo.we unalichukulia kama sifa kumbe ndo basis tRNA.
 
Mwaka 2013 niwazi nilikua nipo kwenye level ya juu kabisa ya mapenzi na nlipitia mahusiano yaliyovunja moyo wangu,nilikosa Furaha,sikuwahi kuhisi kuumia kama kipindi kile, nililia kama mtoto usiku tena nikiwa peke yangu,Nilikua sina hamu ya kukutana na jamii inayonizunguka sababu ya mapenzi, kiufupi nilijiona sina maana na kuhisi nanyanyasika , nashukuru Mungu sikujiua.

Sasa haya maisha ndo ninayoishi kwenye mahusiano na wanawake nlowapitia toka 2014.

1.Nimekua sioni raha kwenye mahusiano wala sioni kama nna hisia sahihi za mapenzi.

2.Nimedate na wanawake zaidi ya 60 na kulala na wanawake zaidi ya 40.

3.Nimekua sijui kuchagua kama zamani saizi mwanamke yoyote ambae sio ndugu yangu hata uwaje mi napeleka moto.

4.Hata mwanamke awe mrembo kiasi gani akiwa kwenye mahusiano na mimi awe tayari kuachwa na wala mimi sitaumia kwa kumpoteza.

5.Nimekua muongo kwa maneno matamu kiasi kwamba wanawake wanaopata mkosi wa kukutana na mimi hua wananiona ni husband material.

6.Nimekua sithamini mahusiano ya watu kiasi kwamba nimetembea na madem wa washkaji zangu tena kwa kuwatongoza na ikitokea wana wamejua naona kawaida.

7.Ninaweza kua na mahusiano na wanawake zaid ya watatu kwa mda mmoja na hakuna mwenye anaeweza kuniendesha kihisia na mara nyingi hawawezi juana hata kama wapo mtaa mmoja.

8.Nimewekeza muda mwingi kwenye kutafuta pesa na kuwaza ni jinsi gani nitakuwa milionea na hakika mimi nitakuwa milionea mkubwa.

9.Nainjoi kuona wanawake nnaodate nao jinsi wanahisia na mtu ambae hana malengo nao yaani mimi.

10.Nimekua nikijitolea sana kwenye uwanja wa mapenzi walopata mkosi wa kushughulikiwa na Mimi hili wanalijua.

11.Ni ngumu mimi kumtamkia mwanamke kua tuachane na ikitokea nakuwa sipo serious kwan hua nipo tayari kuirudia papuchi ya X wangu...MIMI HUYO
Nikipata vingine nitaongeza.

Sio kwamba napenda kua hivi ila niukweli kua 2013 mngeweza kusikia kuna mtu kajiua kisa mapenzi na kwa kua yupo hai basi mwaka huo hisia zake zilikufa na bado hajaona wa kuzifufua na yeye wala hahitaji hisia zifufuke kwan hataki kupitia yale mateso tens.
Yan toka 2014 mpaka sasa umekula wanawake 40 tu. Mbona hiyo namba unaweza piga ndani ya Mwaka tu au miaka 2?
 
Kweli kaka hio idadi ni ndogo sababu kitaani kwetu watu wanachakacha maikinia mi sifikii haya 1/10

Braza huna kasoro NARUDIA TENA HUNA KASORO.

Mi ni kama wewe, nilimpenda sanaa msichana niliyempata 2013 (baada tu ya kutoka Chuoni na kupata ajira) nikitegemea kumuoa 2015.

Ila mwaka 2015 aliniumiza sanaa.

Yaani nilimtafutia ajira na kwa ajira yangu humohumo ofisini akapata mwanaume akamuoa.

Niliumia aisee ila TIME HEELS.

Tokea hapo mi ni kuwatomb* tu.

Na akikataa huwa na ahidi uongo wowote hata ndoa ili tu nimtomb*

Hao single maza sijui kina nani mi napeleka motooo..

#YNWA
 
Watu wanaotuona tuna kasoro hakika hawajui ni maumivu kiasi gani tumepitia

Yale sio maumivu kaka sitaki hata kusikia ni heri kupeleka moto
Braza huna kasoro NARUDIA TENA HUNA KASORO.

Mi ni kama wewe, nilimpenda sanaa msichana niliyempata 2013 (baada tu ya kutoka Chuoni na kupata ajira) nikitegemea kumuoa 2015.

Ila mwaka 2015 aliniumiza sanaa.

Yaani nilimtafutia ajira na kwa ajira yangu humohumo ofisini akapata mwanaume akamuoa.

Niliumia aisee ila TIME HEELS.

Tokea hapo mi ni kuwatomb* tu.

Na akikataa huwa na ahidi uongo wowote hata ndoa ili tu nimtomb*

Hao single maza sijui kina nani mi napeleka motooo..

#YNWA
 
Na ukaoa utakuwa ivoivo pia,utamtesa sana aliyendani.Nayapitia hayo maisha.pole sana,Mwenyez Mungu akuepushie maradhi ili Siku ukiamua kuwa safi uwe na uzima pia
Sometimes sio kwamba TUNAPENDA ILA KUNA WANAWAKE WAPUMBAVU SANAA...

Mi ni kama yeye, nilimpenda sanaa msichana niliyempata 2013 (baada tu ya kutoka Chuoni na kupata ajira) nikitegemea kumuoa 2015.

Nilimuhudumia kwa uwezo wotee.
Yaani alikua akichukua more than 50% ya mshahara wangu.

Ila mwaka 2015 aliniumiza sanaa.

Yaani nilimtafutia ajira baada ya kuona kakaa sanaa mtaani, niliifanya application kibao kama mi baba ake ili tu apate ajira hafurahi.

Ila kwa ajira hiyo niliyomtafutia humohumo ofisini akapata mwanaume akamuoa.

Niliumia aisee ila TIME HEELS.

Tokea hapo mi ni kuwatomb* tu.

Na akikataa huwa na ahidi uongo wowote hata ndoa ili tu nimtomb*

Hao single maza sijui kina nani mi napeleka motooo..

Tena single maza ndio wepesiii..

We muahidi ndoa na mpende mtoto ake ushamla.

#YNWA
 
Mwaka 2013 niwazi nilikua nipo kwenye level ya juu kabisa ya mapenzi na nlipitia mahusiano yaliyovunja moyo wangu,nilikosa Furaha,sikuwahi kuhisi kuumia kama kipindi kile, nililia kama mtoto usiku tena nikiwa peke yangu,Nilikua sina hamu ya kukutana na jamii inayonizunguka sababu ya mapenzi, kiufupi nilijiona sina maana na kuhisi nanyanyasika , nashukuru Mungu sikujiua.

Sasa haya maisha ndo ninayoishi kwenye mahusiano na wanawake nlowapitia toka 2014.

1.Nimekua sioni raha kwenye mahusiano wala sioni kama nna hisia sahihi za mapenzi.

2.Nimedate na wanawake zaidi ya 60 na kulala na wanawake zaidi ya 40.

3.Nimekua sijui kuchagua kama zamani saizi mwanamke yoyote ambae sio ndugu yangu hata uwaje mi napeleka moto.

4.Hata mwanamke awe mrembo kiasi gani akiwa kwenye mahusiano na mimi awe tayari kuachwa na wala mimi sitaumia kwa kumpoteza.

5.Nimekua muongo kwa maneno matamu kiasi kwamba wanawake wanaopata mkosi wa kukutana na mimi hua wananiona ni husband material.

6.Nimekua sithamini mahusiano ya watu kiasi kwamba nimetembea na madem wa washkaji zangu tena kwa kuwatongoza na ikitokea wana wamejua naona kawaida.

7.Ninaweza kua na mahusiano na wanawake zaid ya watatu kwa mda mmoja na hakuna mwenye anaeweza kuniendesha kihisia na mara nyingi hawawezi juana hata kama wapo mtaa mmoja.

8.Nimewekeza muda mwingi kwenye kutafuta pesa na kuwaza ni jinsi gani nitakuwa milionea na hakika mimi nitakuwa milionea mkubwa.

9.Nainjoi kuona wanawake nnaodate nao jinsi wanahisia na mtu ambae hana malengo nao yaani mimi.

10.Nimekua nikijitolea sana kwenye uwanja wa mapenzi walopata mkosi wa kushughulikiwa na Mimi hili wanalijua.

11.Ni ngumu mimi kumtamkia mwanamke kua tuachane na ikitokea nakuwa sipo serious kwan hua nipo tayari kuirudia papuchi ya X wangu...MIMI HUYO
Nikipata vingine nitaongeza.

Sio kwamba napenda kua hivi ila niukweli kua 2013 mngeweza kusikia kuna mtu kajiua kisa mapenzi na kwa kua yupo hai basi mwaka huo hisia zake zilikufa na bado hajaona wa kuzifufua na yeye wala hahitaji hisia zifufuke kwan hataki kupitia yale mateso tens.
Hiyo namba 4 ndio yenyewe mwanawane. Huo ndio umwambwa wenyewe
 
12. Hainiumi hata mwanamke anionaje mfano nna tango siumii,nna kibamia siumii ,sijui mapenz siumii hata aseme mtungi haruki jogoo mi sawa tena sawa sana kama akisema hayo baada ya kupewa papuchi
 
Sometimes sio kwamba TUNAPENDA ILA KUNA WANAWAKE WAPUMBAVU SANAA...

Mi ni kama yeye, nilimpenda sanaa msichana niliyempata 2013 (baada tu ya kutoka Chuoni na kupata ajira) nikitegemea kumuoa 2015.

Nilimuhudumia kwa uwezo wotee.
Yaani alikua akichukua more than 50% ya mshahara wangu.

Ila mwaka 2015 aliniumiza sanaa.

Yaani nilimtafutia ajira baada ya kuona kakaa sanaa mtaani, niliifanya application kibao kama mi baba ake ili tu apate ajira hafurahi.

Ila kwa ajira hiyo niliyomtafutia humohumo ofisini akapata mwanaume akamuoa.

Niliumia aisee ila TIME HEELS.

Tokea hapo mi ni kuwatomb* tu.

Na akikataa huwa na ahidi uongo wowote hata ndoa ili tu nimtomb*

Hao single maza sijui kina nani mi napeleka motooo..

Tena single maza ndio wepesiii..

We muahidi ndoa na mpende mtoto ake ushamla.

#YNWA
Aisee nimepwnda ulivyo malizia post yako...yaani ukikamata single maza wee wagegede tuu na wanajitumaga hao ukiwa unasasambua mbususu
 
Sometimes sio kwamba TUNAPENDA ILA KUNA WANAWAKE WAPUMBAVU SANAA...

Mi ni kama yeye, nilimpenda sanaa msichana niliyempata 2013 (baada tu ya kutoka Chuoni na kupata ajira) nikitegemea kumuoa 2015.

Nilimuhudumia kwa uwezo wotee.

Yaani alikua akichukua more than 50% ya mshahara wangu.

Ila mwaka 2015 aliniumiza sanaa.

Yaani nilimtafutia ajira baada ya kuona kakaa sanaa mtaani, niliifanya application kibao kama mi baba ake ili tu apate ajira hafurahi.

Ila kwa ajira hiyo niliyomtafutia humohumo ofisini akapata mwanaume akamuoa.

Niliumia aisee ila TIME HEELS.

Tokea hapo mi ni kuwatomb* tu.

Na akikataa huwa na ahidi uongo wowote hata ndoa ili tu nimtomb*

Hao single maza sijui kina nani mi napeleka motooo..

Tena single maza ndio wepesiii..

We muah

idi ndoa na mpende mtoto ake ushamla.

Ujinga wa wengine usifanye muwatese wasiokuwa na hatia. Imagine binti amekukataa unamdanganya mpaka kumuoa, anakuamini unapita halafu unamuacha! Na ninyi mna Dada zenu, Dada yako akifanyiwa hivyo unajisikiaje?
 
Na nikwambie tu hata huyo binti nimepitia na baada ya kuridhika nimemuacha.

Alinitafuta ndoa yake ngumu?

Nikamwambia njoo kwangu ujitibu.

Alikuja kukaa wiki then nikamwambia "mke wangu anakuja rudi kwa mumeo"

Aliomba amuache mumewe arudi kwangu ila kwasasa nikamwambia sina nafasi.

WAPELEKEEE MOTOOO

#YNWA
 
Mlikutana wote mnamatatizo.

Back
Top Bottom