Haya yamekuwa maisha yangu ya mapenzi

Haya yamekuwa maisha yangu ya mapenzi

Watu wanaotuona tuna kasoro hakika hawajui ni maumivu kiasi gani tumepitia

Yale sio maumivu kaka sitaki hata kusikia ni heri kupeleka moto
Ninyi Si wa kwanza kuumia, watu tuna story ngumu kuliko hata hizi mnazo sema, lakini tunachukulia kama darasa tu, siyo kila safari mpaka ufike. Lakini hatujawahi kuwaza visasi, zaidi ni kuendelea kujiumiza. Kama tunalia misiba, tunakubali maisha yaedelee, Si zaidi kwenye mapenzi?
 
Sometimes sio kwamba TUNAPENDA ILA KUNA WANAWAKE WAPUMBAVU SANAA...

Mi ni kama yeye, nilimpenda sanaa msichana niliyempata 2013 (baada tu ya kutoka Chuoni na kupata ajira) nikitegemea kumuoa 2015.

Nilimuhudumia kwa uwezo wotee.
Yaani alikua akichukua more than 50% ya mshahara wangu.

Ila mwaka 2015 aliniumiza sanaa.

Yaani nilimtafutia ajira baada ya kuona kakaa sanaa mtaani, niliifanya application kibao kama mi baba ake ili tu apate ajira hafurahi.

Ila kwa ajira hiyo niliyomtafutia humohumo ofisini akapata mwanaume akamuoa.

Niliumia aisee ila TIME HEELS.

Tokea hapo mi ni kuwatomb* tu.

Na akikataa huwa na ahidi uongo wowote hata ndoa ili tu nimtomb*

Hao single maza sijui kina nani mi napeleka motooo..

Tena single maza ndio wepesiii..

We muahidi ndoa na mpende mtoto ake ushamla.

#YNWA
Kumbe
 
Mwanamke unaish maisha kama yangu aisee pole sana mpaka nimetaman kuomba namba ila nimestaajabu
Yes,nilifanya ivo sana tangu baba mtoto azingue ujauzito wangu,ndoa ilikuja nikomboa kwa kweli
 
Hongera if u are healed ko upo kwa ndoa na mtoto wa mwanaume mwingine
Yes,nilifanya ivo sana tangu baba mtoto azingue ujauzito wangu,ndoa ilikuja nikomboa kwa kweli
 
Ninyi Si wa kwanza kuumia, watu tuna story ngumu kuliko hata hizi mnazo sema, lakini tunachukulia kama darasa tu, siyo kila safari mpaka ufike. Lakini hatujawahi kuwaza visasi, zaidi ni kuendelea kujiumiza. Kama tunalia misiba, tunakubali maisha yaedelee, Si zaidi kwenye mapenzi?
Hawa madogo kikubwa kinachowasumbua ni umalaya tuu hiyo kujidai sijui waliumizwa sijui nini ni katika kutafuta visingizio na kujifariji. Kuna watu ni malaya bai necha, hata asingekua ameumizwa bado angekua na hiyo tabia ya onja onja.
 
Bora na wewe umeliona hili
Hawa madogo kikubwa kinachowasumbua ni umalaya tuu hiyo kujidai sijui waliumizwa sijui nini ni katika kutafuta visingizio na kujifariji. Kuna watu ni malaya bai necha, hata asingekua ameumizwa bado angekua na hiyo tabia ya onja onja.
 
Sidhan kama ni kweli kama ningempata kipindi kile mwanamke wangu nisingejua kua kuna kuumia zaidi ningekua napenda tu

Huna lolote mkuu acha kujipa moyo. Papuchi ni kitu kingine jombaa ukishaizoea huwez acha. Sisi wote mbona tunachakata balaa kuliko hata wewe na hatujawahi kuumizwa na mtu..? 😂😂
 
Huna lolote mkuu acha kujipa moyo. Papuchi ni kitu kingine jombaa ukishaizoea huwez acha. Sisi wote mbona tunachakata balaa kuliko hata wewe na hatujawahi kuumizwa na mtu..? [emoji23][emoji23]
Ko inawezekana nikawa namsingizia tu mtoto wa watu

He!!! Lakin hapana
 
Umri umekwenda...
Na sidhani Kama una mpango wa kujenga familia

Hapo ulipo una vimelea teyale..!😷

Unabugia tu akina CD4 lakin umekomaa..!

Husione sifa....
 
Back
Top Bottom