Haya yamekuwa maisha yangu ya mapenzi

Haya yamekuwa maisha yangu ya mapenzi

Unataman kufa kwa Covid wew sio kwa kunichawia huko
Umri umekwenda...
Na sidhani Kama una mpango wa kujenga familia


Hapo ulipo una vimelea teyale..![emoji40]

Unabugia tu akina CD4 lakin umekomaa..!


Husione sifa....
 
Braza huna kasoro NARUDIA TENA HUNA KASORO.

Mi ni kama wewe, nilimpenda sanaa msichana niliyempata 2013 (baada tu ya kutoka Chuoni na kupata ajira) nikitegemea kumuoa 2015.

Ila mwaka 2015 aliniumiza sanaa.

Yaani nilimtafutia ajira na kwa ajira yangu humohumo ofisini akapata mwanaume akamuoa.

Niliumia aisee ila TIME HEELS.

Tokea hapo mi ni kuwatomb* tu.

Na akikataa huwa na ahidi uongo wowote hata ndoa ili tu nimtomb*

Hao single maza sijui kina nani mi napeleka motooo..

#YNWA
Kumbe ndo maana uko mchungu kwa wanawake,,, ex ndo anasababisha wanawake wote wakose thamani machoni pako!!! 😂😂😂 Pole kwa hasira na machungu hayo
 
Hahahau umesema kweli kabisaa, MTU katendwa huko nyuma. Hasira zote anahamishia kwingine[emoji23][emoji23].

Na kwa jinsi ulivyo Mzuri wa Sura , Umbooo. Guuu guuu. Takotakoo...


Angehonga mpaka Simu anayotumia Kuingia nayo JF
Tungekutana tu maana wote tungekuwa tuko kimachale, sifa zote hizo ni zangu,, usiniletee mafuriko mi Ni kademu kabovu aka pasikali
 
Mwaka 2013 niwazi nilikua nipo kwenye level ya juu kabisa ya mapenzi na nlipitia mahusiano yaliyovunja moyo wangu,nilikosa Furaha, sikuwahi kuhisi kuumia kama kipindi kile, nililia kama mtoto usiku tena nikiwa peke yangu,Nilikua sina hamu ya kukutana na jamii inayonizunguka sababu ya mapenzi, kiufupi nilijiona sina maana na kuhisi nanyanyasika , nashukuru Mungu sikujiua.

Sasa haya maisha ndo ninayoishi kwenye mahusiano na wanawake nlowapitia toka 2014.

1. Nimekua sioni raha kwenye mahusiano wala sioni kama nna hisia sahihi za mapenzi.

2. Nimedate na wanawake zaidi ya 60 na kulala na wanawake zaidi ya 40.

3. Nimekua sijui kuchagua kama zamani saizi mwanamke yoyote ambae sio ndugu yangu hata uwaje mi napeleka moto.

4. Hata mwanamke awe mrembo kiasi gani akiwa kwenye mahusiano na mimi awe tayari kuachwa na wala mimi sitaumia kwa kumpoteza.

5.Nimekua muongo kwa maneno matamu kiasi kwamba wanawake wanaopata mkosi wa kukutana na mimi hua wananiona ni husband material.

6. Nimekua sithamini mahusiano ya watu kiasi kwamba nimetembea na madem wa washkaji zangu tena kwa kuwatongoza na ikitokea wana wamejua naona kawaida.

7. Ninaweza kua na mahusiano na wanawake zaid ya watatu kwa mda mmoja na hakuna mwenye anaeweza kuniendesha kihisia na mara nyingi hawawezi juana hata kama wapo mtaa mmoja.

8. Nimewekeza muda mwingi kwenye kutafuta pesa na kuwaza ni jinsi gani nitakuwa milionea na hakika mimi nitakuwa milionea mkubwa.

9. Nainjoi kuona wanawake nnaodate nao jinsi wanahisia na mtu ambae hana malengo nao yaani mimi.

10. Nimekua nikijitolea sana kwenye uwanja wa mapenzi walopata mkosi wa kushughulikiwa na Mimi hili wanalijua.

11. Ni ngumu mimi kumtamkia mwanamke kua tuachane na ikitokea nakuwa sipo serious kwan hua nipo tayari kuirudia papuchi ya X wangu...MIMI HUYO

Nikipata vingine nitaongeza.

Sio kwamba napenda kua hivi ila niukweli kua 2013 mngeweza kusikia kuna mtu kajiua kisa mapenzi na kwa kua yupo hai basi mwaka huo hisia zake zilikufa na bado hajaona wa kuzifufua na yeye wala hahitaji hisia zifufuke kwan hataki kupitia yale mateso tens.
Kakutesa mmoja, wewe unataka kutesa dunia nzima mpaka rafiki zako, kama kweli unawachukulia kama ni rafiki.
 
Dada niamin simuwaz na hata kujal kuhusu yeye sijali sijui labda uniambie vizuri kuhusu ku move on
Kama unayakumbuka ya mwaka 2013, na yanakufanya usiwe na utu, ina maana yanakusumbua na kutesa bado. Hulii kwa kutoa machozi kama 2013, bali kwa kuumizwa wengine.
 
Back
Top Bottom