Haya ya kweli kuhusu Rock City Mall?

Haya ya kweli kuhusu Rock City Mall?

mnakuza tu mambo tulio mwanza tunaona pa kiboya tu......mall inafanana na shirika la reli tazara
 
Picha basi......

ImageUploadedByJamiiForums1450641573.517554.jpg
 
Mi sijaingia mle ndani na wala sijawahi kuvutiwa kuingia. Naiona ya kawaida tu
 
Ngoja nipite tu..wamejitahid ila ni shopping mall ya kawaida..nimependa tu wana parking kubwa sana..na bado wanaendelea kuamisha watu hivyo in the near future wakiendelea na expansion huenda ikawa kubwa East Africa..
Japo ni hakika haitofanya vizuri kama Mlimani city coz watz wengi hawana mazoea ya kufanya shopping kwenye mall zenye ghorofa mbili tatu au zaidi...Mlimani City ni flat mall na ndio desturi zetu za shopping tulizozoea watz.. Machinga complex ina ghorofa nne kama sio tano na imefail kabisa sababu sio desturi yetu kupanda ghorofa kwenda kufanya shopping.

Desturi huanza kidogokidogo.... labda hao RC Mall wamejipanga kuamsha hiyo desturi......
 
Ngoja nipite tu..wamejitahid ila ni shopping mall ya kawaida..nimependa tu wana parking kubwa sana..na bado wanaendelea kuamisha watu hivyo in the near future wakiendelea na expansion huenda ikawa kubwa East Africa..
Japo ni hakika haitofanya vizuri kama Mlimani city coz watz wengi hawana mazoea ya kufanya shopping kwenye mall zenye ghorofa mbili tatu au zaidi...Mlimani City ni flat mall na ndio desturi zetu za shopping tulizozoea watz.. Machinga complex ina ghorofa nne kama sio tano na imefail kabisa sababu sio desturi yetu kupanda ghorofa kwenda kufanya shopping.

Watz wamezoea kulala kwenye magorofa na c shoping
 
Kubwa kuliko zopte Afrika Mashariki/ Hapana alikuwa na maana kubwa kuliko zote Kanda ya Ziwa au haijui Afrika mashariki maana Mungai aliwa kufuta somo la Jiografia...
 
Ya kawaida sana, hawa shemeji zangu wasukuma ni kawaida kusifia vitu vipya kama walivyokua wanasifia vigorofa vya Bugando Hospita. mtu anatoka bariadi anaenda kushangaa gorofa la hospitali?
 
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php


ROCK CITY MALL, MWANZA -MWONEKANO NJE NA NDANI.
 

Attachments

  • IMG_20151220_175045.jpg
    IMG_20151220_175045.jpg
    205.7 KB · Views: 1,975
  • IMG_20151220_175035.jpg
    IMG_20151220_175035.jpg
    279.3 KB · Views: 1,978
  • IMG_20151220_175619.jpg
    IMG_20151220_175619.jpg
    249.8 KB · Views: 2,077
  • IMG_20151220_175623.jpg
    IMG_20151220_175623.jpg
    254.1 KB · Views: 2,072
  • IMG_20151220_175633.jpg
    IMG_20151220_175633.jpg
    282.9 KB · Views: 1,975
  • IMG_20151220_175639.jpg
    IMG_20151220_175639.jpg
    154.8 KB · Views: 1,949
  • IMG_20151220_175646.jpg
    IMG_20151220_175646.jpg
    271 KB · Views: 1,909
Ya kawaida sana, hawa shemeji zangu wasukuma ni kawaida kusifia vitu vipya kama walivyokua wanasifia vigorofa vya Bugando Hospita. mtu anatoka bariadi anaenda kushangaa gorofa la hospitali?

Ya kawaida sana kulinganisha na ipi??!!! Acheni kujidai mnajua na kuponda kila kitu...hio mall wamejitahidi sana.
 
Kuna mall moja Uganda inaitwa ACACIA Mall hiyo haikaribii kabisa au westgate ya kenya lakini sio mbaya wamejitahidi sana

Acha uongo wa mchana, Westgate ni ndogo mno kulinganisha na Rock City Mall. Hiyo Acacia Mall siifahamu lakini kwa ujumla hakuna Mall hata moja ya Dar inaikaribia Rock City Mall kwa uzuri pamoja na nafasi iliyomo ndani. Dola milioni 30 very well spent
 
West gate vp!

Gharama za reconstruction ya Westgate Mall ni dola milioni 17 kwa kuijenga upya na kuirudisha katika hali yake. Hii Rock City Mall imejengwa kwa Dola milioni 30. Sasa watakuja watanzania wengine watakwambia kuwa Westgate Mall ni kubwa na nzuri kuliko Rock City Mall

Ila ukiongelea uzuri wa bidhaa zilizomo ndani na idadi ya watu wanafanya shopping Rock City Mall haitakuja kuifikia Westgate Mall milele na milele
 
Back
Top Bottom