Hakuna kitu hiyo ni ndogo tu
Ya kawaida sana kulinganisha na ipi??!!! Acheni kujidai mnajua na kuponda kila kitu...hio mall wamejitahidi sana.
eti kubwa Africa mashariki!?
kuna mall moja iko Nairobi inaitwa TAJ mall ni kubwa cjawahi kuona huku kwetu aisee
Gharama za reconstruction ya Westgate Mall ni dola milioni 17 kwa kuijenga upya na kuirudisha katika hali yake. Hii Rock City Mall imejengwa kwa Dola milioni 30. Sasa watakuja watanzania wengine watakwambia kuwa Westgate Mall ni kubwa na nzuri kuliko Rock City Mall
Ila ukiongelea uzuri wa bidhaa zilizomo ndani na idadi ya watu wanafanya shopping Rock City Mall haitakuja kuifikia Westgate Mall milele na milele
Ni kweli, ni kubwa sana na ya kisasa zaidi kuliko mall yoyote E.Africa, nlifika pale nikayatoa aisee, ni ya kifahari kuliko mall yoyote E.Africa.
East Africa unaijua wewe? au unadhani lake zone ndo East Africa
Yani ni shiida mkuu sema haina muda mrefu toka imefunguliwa lakini ni booongeee LA mall ya kisasa zaidi kwa ukanda huu wa EA.
Ya kawaida sana kulinganisha na ipi??!!! Acheni kujidai mnajua na kuponda kila kitu...hio mall wamejitahidi sana.
East Africa unaijua wewe? au unadhani lake zone ndo East Africa
Gharama haiwezi kudetermine ukubwa, kwani ufisadi unaweza ukapoteza gharama halisi.
Labda ukubwa wanahesabia na ule wa parking.
West gate vp!