Niko naangalia Tv1 habari, wanasema jengo lililozinduliwa leo la Mwanza, Rocky City Mall ni kubwa na la kifahari Africa Mashariki, hakuna mall kubwa kama hiyo... eti ni kweli?
Ndiyo ni kweli Rock city mall ni jengo la kisasa na ni kubwa la kifahari .Mliman city inaingia Mara mbili kwa ufahari na ukubwa wake ukitaka kuproove njoo MWANZA ujionee mwenyewe
Ngoja nipite tu..wamejitahid ila ni shopping mall ya kawaida..nimependa tu wana parking kubwa sana..na bado wanaendelea kuamisha watu hivyo in the near future wakiendelea na expansion huenda ikawa kubwa East Africa..
Japo ni hakika haitofanya vizuri kama Mlimani city coz watz wengi hawana mazoea ya kufanya shopping kwenye mall zenye ghorofa mbili tatu au zaidi...Mlimani City ni flat mall na ndio desturi zetu za shopping tulizozoea watz.. Machinga complex ina ghorofa nne kama sio tano na imefail kabisa sababu sio desturi yetu kupanda ghorofa kwenda kufanya shopping.
Yaani daah inasikitisha sana..huku jamvini kuna watu hawana hata ethics za uzalendo na kusifia maendeleo wao ni kuponda tuuuuu utafikiri ni wahamiaji waliopewa vibali vya kuwa watz...ma intarahamwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.