Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

Status
Not open for further replies.
Achana naye huyu mzizi mgumu,amekosa kazi akaanza kuchora chora midude haieleweki,mwenyewe anaiita jinn sijui shetani?huyu mtu bwana mi huwa simwelewi kabsaaaa,au hizo picha zake amempiga huyo jainn?hahaaaaaaa!!camera gani hiyo mkuu?au olympia?

umeona eeh! yaan kaharibu mood ya ibada kabisa bu ngoja niwah nikaabudu ili kuyakimbiza manake waweza kuta kwa kuliona tu upepo wake ukakuingia eti! llolest!

Mungu namkemea huyu jinn na shetani kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth nguvu ile iliyomfufu Yesu pale kaburini na kumpokonya jinn huyu funguo za kuzimu basi nguvu hiyo ikamwangamize katika maisha ya watu. Ikamuue na kumteketeza kabisa kwa damu ya Bwana wetu Yesu Kristo namfunika kila mwana Jf na familia yake jinn huyu asimwone na kumletea uharibifu. Jinn sikia nakunywesha damu ya Yesu na utoke katika maisha ya watu wa Mungu kuanzia sasa hivi na hata milele. Moto wa Roho Mtakatifu mteketeze huyu jinn. kwa jina la Yesu. Wote tuseme AMEN!!!!!!!!!!!
 
aaamen
 
On the Day of resurrection, those of them who deserve punishment are thrown in to the cold hell, since they are not affected by fire."

MziziMkavu hebu nisaidie chanzo cha khabari cha cold fire versus hot fire
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana kipindi cha campaign unakimbiaga znz,unajificha huku kwa sokota,kweli hicho kidume hapo kikikubana sawasawa huna ujanja,anyway hiyo pic ya ppbw kwenye maua umeitoa wapi?New york post?au the herald?
 
MziziMkavu hebu nisaidie chanzo cha khabari cha cold fire versus hot fire
Kule kwenye jukwaa la mambo ya dini na imani kila siku watu huzungumzia mambo ya Majinni (Mapepo)sasa nimeona leo niweke mfano jini anavyokuwa Mkuu kuna watu wanaopinga kuna watu wanounga mkono si unajuwa hapa ni mahala pa kujifurahisha moyoni Chemsha bongo hiyo Mkuu unasemaje wewe mawazo yako? Mkuu Rakifi yangu?... Rutashubanyuma
 
KWATO.jpg
 
Jini na zimwi kuu ninalolifahamu lingamba la kijani. liko tz kzi yake ni kuua watu kupitia migomo ya maDr, ajalimbaya kila leo, mabomu mbagala na g/mboto mafuriko. hilo ndio baya kuliko hiyo pic ya Mzizi.
 
Sometimes I fail to understand manake kama Lucifer was one among our heavenly father sevant, Malaika mjuzi na aliyekuwa karibu sana na Mungu na kuponzwa na tamaa ati ni kwa nini leo picha zake zinakuwa za namna hizi manake binafsi ninaposikia Malaika sitazamii awe kiumbe cha namna hii......... Sasa Lucifer kinachompelekea aonekana hivi ni nini??
 
Sio maandishi yan kiislam maandishi ya kiarabu bwana sugi

Kwani kuna tofauti gani kati ya uisilamu na uarabu???

Waarabu na waislamu wote wanaabudu majini!!

Kwa mwarabu na muislamu kufuga majini ni sign of authority and respect!!

Kurani imejaa simulizi za majini
 
MziziMkavu mimi hii elimu ya majini na mapepo siipend hata kusikia. kuna mchungaji mmoja ameandika kitabu kitwacho siri za kuzimu huyu pastor anaitwa pastor Mkumbo basi hilo lipicha hapo liko hivyo hivyo kwenye hicho kitabu lolo sijataka hata kukisoma nisije haribu mood yangu bure.

na niliwah kuskia majini wengi wanakaa jangwani ila wapo wanaokaa majini ni kweli?

siye wakristo 'lusifa' aliyekuwa malaika mkuu wasifa mbinguni alipotaka kaujitukuza kuliko Mungu alifukuzwa na Mungu na ndipo akaja humu duniani na ni baba wa mapepo. Jiulize anazijua siri nyingi kiasi gani za mbinguni? na je anazotreak nyingi kiasi gani za kumshawish mwanadamu kwa kwa kutumia loop hole ya siri za mbinguni anazozijua?

na umemwona anayo alama ya freemanson iyo ya vidole viwili kumbe haya mavitu yapo tu hata kama tutakataa?
hizo alama zina maanisha "I love you"
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom