Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

Status
Not open for further replies.
Duh!ushahidi gani unaotaka uletewe?Mbona hizo issue ziko wazi tu kitaa?Binafsi siamini haya mambo,however yapo kwenye jamii na ni kweli alichosema Mawenzi

ushahidi wa kutoka kwenye quran kwamba sisi waislam kufuga majini ni kama sign of authority and respect!! ...
 


ushahidi wa kutoka kwenye quran kwamba sisi waislam kufuga majini ni kama sign of authority and respect!! ...
Sijui hilo la quran kusema hivyo.Unajuwa hizi dini tulizoletewa sisi ndo huwa tunaongeza ufundi wetu mwingi tu.Na hilo ni kwa dini zote tu.We cjui unaishi wapi,lakini ndo reality kitaa,mwenye majini mengi na uchawi zaidi ndo yuko juu.Dini yako inakataza kufuga majini?Maana if that's the case basi ndo yale yale ya kukurupukia dini za waliotutawala.
 

Qur'an, Sura 17:73-75


Tafadhali usinitangazie fatwa, umeuliza mwenyewe

wacha ni quote ayats kama zilivyo

17. SURA AL ISRAAI (BANI ISRAIL)
(Imeteremka Makka)

73. Na hakika walikaribia kukushawishi uache tuliyo kufunulia ili utuzulie mengineyo. Na hapo ndio wangeli kufanya rafiki
74. Na lau kuwa hatukukuweka imara ungeli karibia kuwaelekea kidogo.
75. Hapo basi bila ya shaka tungeli kuonjesha adhabu mardufu ya uhai, na adhabu mardufu ya kifo. Kisha usinge pata mtu wa kukunusuru nasi.


link ya quran na tafsiri ya hiyo sura hii hapa 17. SURA AL ISRAAI (BANI ISRAIL)


sijaona point yako! nenda kule answerslam dot com mnapopakuwa huu uzushi ukawaulize tena ayats zina tatizo gani..?
 
Sijui hilo la quran kusema hivyo.Unajuwa hizi dini tulizoletewa sisi ndo huwa tunaongeza ufundi wetu mwingi tu.Na hilo ni kwa dini zote tu.We cjui unaishi wapi,lakini ndo reality kitaa,mwenye majini mengi na uchawi zaidi ndo yuko juu.Dini yako inakataza kufuga majini?Maana if that's the case basi ndo yale yale ya kukurupukia dini za waliotutawala.

sasa weye si muislam then unalazimisha kwamba ni uislam sababu umeona waislam wakifanya .. hehe! u can do better this mkuu .. & i really don't care what other muslims do / does .. chochote ambacho hakimo ndani ya quran wala katika sunna alizotuachia mtume wetu then si uislam .. FACT (no debate) ...
 
wewe JMUsh1 ushindwe kabisa. haya makitu niyakukemea sana sipend kabisa kuskia habari zake...................... lolz!
Ndo maana yake hiyo.Hizi myths tu,hakuna la zaidi.Na kuna watu ni mahiri sana kwenye kufeed hizo myths kwenye mbongo za watu.Kwenye jamii yetu ambayo udaku ni sehemu ya maisha pamoja na ukweli wa ukosefu wa swhughuli za kufanya,basi haya mambo yanapata nafasi zaidi.Kwa mfano alichosema njiwa,kuwa uislam haukubaliani na majini whereas in reality kitaa ni the opposite.

Kuhusu alama, hiyo ina maana "I love you" sasa kama ndo huyo jini ama shetani anamaanisha hivyo,then hilo sijui.Mbona alama ya "v" hutumika both for victory and peace?
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana yake hiyo.Hizi myths tu,hakuna la zaidi.Na kuna watu ni mahiri sana kwenye kufeed hizo myths kwenye mbongo za watu.Kwenye jamii yetu ambayo udaku ni sehemu ya maisha pamoja na ukweli wa ukosefu wa swhughuli za kufanya,basi haya mambo yanapata nafasi zaidi.Kwa mfano alichosema njiwa,kuwa uislam haukubaliani na majini whereas in reality kitaa ni the opposite.Hiyo ina maana "I love you" sasa kama ndo juyo jini ama shetani anamaanisha hivyo,then hilo sijui.Mbona alama ya "v" hutumika both for victory and peace?
jmushi1 i dont want to talk about these things as i hate it. To me huwa namwamini Mungu basi elimu hizi za mapepo na majinn yake na maswahiba yake nayaacha kama yalivyo. infact natambua uwepo washetan dunian kwani Mungu alimtupa dunian baada ya kuasi thats all i dont want kuona kaandikwa kiarabu au yuko kama punda sijui au kama jitu i dont manake hakuna aliyewah kumuona kwa macho how can say anaumbo hili?
 
Last edited by a moderator:
jmushi1 i dont want to talk about these things as i hate it. To me huwa namwamini Mungu basi elimu hizi za mapepo na majinn yake na maswahiba yake nayaacha kama yalivyo. infact natambua uwepo washetan dunian kwani Mungu alimtupa dunian baada ya kuasi thats all i dont want kuona kaandikwa kiarabu au yuko kama punda sijui au kama jitu i dont manake hakuna aliyewah kumuona kwa macho how can say anaumbo hili?
gfsonwin,sidhani kama napingana na uamuzi wako wa kipi uamini na kipi usikiamini...Jibu langu nililielekeza kwenye swali lako kuhusiana na alama iliyoko kwenye picha ya bandiko la mleta hoja,pale uliposema kumbe ni kweli kuhusiana na alama na majini, uka mention freemason.

On the other hand,hayo yote uliyoyataja bado ni imani tu,ila una uwoga wa kusikia usichokiamini,its just a mindgame.This is how we realy complicate our own lives bila kujuwa.
 
Last edited by a moderator:


wacha ni quote ayats kama zilivyo

17. SURA AL ISRAAI (BANI ISRAIL)
(Imeteremka Makka)





link ya quran na tafsiri ya hiyo sura hii hapa 17. SURA AL ISRAAI (BANI ISRAIL)


sijaona point yako! nenda kule answerslam dot com mnapopakuwa huu uzushi ukawaulize tena ayats zina tatizo gani..?

Reading between the lines, Sulman Rushdie had his fatwa announced by Ayatollah Khomeini. Just ask yourself 'who are they'

Utajifanya huelewi broken English yangu, nazungumzia WALIKARIBIA KUKUSHAWISHI, HATUKUKUWEKA IMARA, TUNGELIKUONJESHA. Who are those, and who is being told.

(al-Lat, al-Uzza and Manat
), any idea who are they?
 
wewe JMUsh1 ushindwe kabisa. haya makitu niyakukemea sana sipend kabisa kuskia habari zake...................... lolz!

Kwa imani na malezi yako umefundishwa kuyakemea na kuyakataa, ila wapo ambao wanaamini ni mazuri kama ambavyo wenyewe wamesema na ni sehemu ya familia zao. Usiogope sana, as far as you know what to believe. Lakini yapo na usikatae picha ya baba ikiwa aliyeileta ni mwana.
 

Reading between the lines, Sulman Rushdie had his fatwa announced by Ayatollah Khomeini. Just ask yourself 'who are they'

Utajifanya huelewi broken English yangu, nazungumzia WALIKARIBIA KUKUSHAWISHI, HATUKUKUWEKA IMARA, TUNGELIKUONJESHA. Who are those, and who is being told.

(al-Lat, al-Uzza and Manat
), any idea who are they?

hahaha! umenifanya nicheke kwa sauti ... What a cocky twat.... !! .. ahh! haya amini unavyoamini ushanywesha sumu ... BTW WHO IS
Ayatollah Khomeini???
 
reading between the lines, sulman rushdie had his fatwa announced by ayatollah khomeini. Just ask yourself 'who are they'

utajifanya huelewi broken english yangu, nazungumzia walikaribia kukushawishi, hatukukuweka imara, tungelikuonjesha. Who are those, and who is being told.

(al-lat, al-uzza and manat
), any idea who are they?
kama hivi ndivyo wagala wote akili zenu zilivyo, basi sijawahi ona wajinga zaidi ya nyie!
 
“The truth of the matter is that the father of the jinn is other than Satan, although Satan does belong to the species of the jinn. The father of the jinn is a hermaphrodite [khuntha]…There is no benefit in spending time with them, and their company is positively harmful. Since they are created of fire and air, their principal attributes are pride and rebelliousness. Those who frequent them are thereby infected with arrogance and conceit…Warfare amongst them is not rare, since their essential attributes are boastfulness, asserting superiority over one another, arrogance and overbearing tyranny…On the Day of resurrection, those of them who deserve punishment are thrown in to the cold hell, since they are not affected by fire.”


kitab_al-bulhan_-_iblees.jpg

Acha kuwaaminisha watu mambo ya kufikirika na ambavyo havipo.rudi kajifunze tena kuhusu jinn,shetan,malaika,zimwi,kupaa kwa ungo,ndondocha,msukule nk,utapata majibu mazuri ambayo hata watoto wa chekechea watakuelewa,achana na mambo ya kusadikika jamaa yangu sio karne yake hii.kumbe na wewe ni mpuuzi kiasi hicho?
 
hakuingii wewe mwilini mwako upepo wake tu ukikupata ndio baada ya siku tatu ndio unajigeuza kuwa ni shetani mbaya yeye huyo Mungu amemuumba ana uwezo wa kujigeuza kwa kila kitu Paka mweusi mbwa mweusi

kujigeuza upepo mkali kama wa kimbunga,kujigeuza nyoka wa aina ya chatu,kujigeuza Nge mweusi mkubwa, sasa upepo wake ukikupata ndio wewe unapata maradhi na waweza pia kufa usipofanya dua ya kumuondowa anakuwa ni mzuri ikiwa

hadhuru watu lakini akiwa ni mbaya anakuwa ni shetani anadhuru watu wapo Majini wabaya nao ni Mashetani na wapo pia majini wazuri ni viumbe tunaoishi nao ndani ya nyumba Sokoni mahali penye mkusanyiko wa watu hao ni wazuri wanatuona lakini sisi hatuwaoni wakiwa ni wabay ndio wanaitwa mashetani................. Bujibuji
kwa maelezo haya nagundua kumbe jf ina wataalam wa fani nyingi sana.
 
Niogope picha aliyoichora mzizi mkavu??

Hata mimi nashangaa,kuna watu ni wasomi maprofesa lakini ktk mambo ya kijinga kama haya akili wanaiweka kando na kuamini,mfano ni hiyo picha inaonyesha wazi ni ya kuchora lakini watu washaanza kuipa taswira halisi na watakwenda mtaani kutangaza wanamjua jini wamemwona,hakuna mzigo mzito kama ujinga.
 
Kwani kuna tofauti gani kati ya uisilamu na uarabu???

Waarabu na waislamu wote wanaabudu majini!!

Kwa mwarabu na muislamu kufuga majini ni sign of authority and respect!!

Kurani imejaa simulizi za majini
Kuna Tofauti kubwa kati ya Uislam na Uarabu, Uislam ni Dini ya Mwenyeezi Mungu aliyemteremshia Mtume Wake Muhammad Rehema za Mwenyeezi Mungu ziwe pamojana amani. Uislam ni Dini imani Utii Kunyenyekea Kuamrishana mambo mema kukatazana Mambo mabaya huu ndio uislam na pia uislam ni dini inayofuatwa na Watu wa aina zote duniani. Neno Uarabu Uarabu ni Kabila lilipo huko Uarabuni au nchi za kiarabu haswa huko Libya ,morocco,Tunisia Saudi Arabia Syria U.A.E. Oman,Kuwait,Lebanon,Qatar Dubai,Baharain,Yemen, Sudan ya Kaskazini ,na Misri. huko ndio Uarabuni tofautisha Dini na Kabila ni vitu 2 tofauti umenielewa Mkuu?...... Mawenzi
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom