Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

Status
Not open for further replies.
Wewe huamini vitu visivyoonekana? Kwa Mfano Upepo unaweza kuona? mbona unamini kama upepo upo?

Usichanganye upepo ambayo ni force iko wazi na habari za mungu au malaika hapa hoja haipo

kuna viumbe mungu ameviweka humu humu duniani tunaishi navyo hatuviwezi kuviona lakini hivyo viumbe vinatuona

Nionyeshe mungu yuko wapi from there ntamuuliza kwanini anafichaficha vitu na haelewekieleweki na sio muwazi.

wewe kwani huna Dini?Mkristo au ni muislam? unaamini kuwa iko siku utakufa? Je Umesha wahi kuona kifo kwa macho yako?kama una amini iko siku utakufa basi amini kuna Mwenyeezi Mungu ,Majini na malaika na amini ipo siku ya mwisho siku ya hukumu amini kuna moto wajahanamu na kuna pepo acha usingizi wako huo.

Mi ni Muafrika nikuulize wewe na hilo liko wazi msamiati wa dini hauko kichwani mwangu. Kila kitu kinachoishi hufikia mwisho wa maisha yake kama ilivyo kwako kwa kuku, mbuzi, sungura vyote vifo na hakuna baada ya hapo. Hizo stori za jehanamu na majini watishe wengine mkuu wenye uelewa kama wako. Nipe ramani ya huko jehanmu kama kupo kama sio stori mlizokaririshwa na viongozi wenu wa dini.. Hukumu ya nini tena? kwa kosa gani?? Huyo mungu kama yupo atakuwa na matatizo makubwa sana ya kisaikolojia aisee why create something you cannot control afu mwisho wa siku you know it's end.. JIPANGE..

.
 
Uki-google Ayatollah Khomeini utampata. Kiongozi wa kiroho wa jumuiya ya waislamu wa Iran.

ok news flash bro/ madam .... mimi sio shia so anayoongea yule jamaa mimi hayanihusu mimi ni sunni ninayefata principle za shafii school of thought ...! btw why unaleta maneno ya ayatolah he is nothing at list yangekuwa ni ya mtume basi au swahaba.. watu walioishi na mtume...at list ninge ya consider ayatollah kwangu hana tofauti na JK au slaa.. he is no body
 


ok news flash bro/ madam .... mimi sio shia so anayoongea yule jamaa mimi hayanihusu mimi ni sunni ninayefata principle za shafii school of thought ...! btw why unaleta maneno ya ayatolah he is nothing at list yangekuwa ni ya mtume basi au swahaba.. watu walioishi na mtume...at list ninge ya consider ayatollah kwangu hana tofauti na JK au slaa.. he is no body

Kwani Shia na Sunni mna vitabu tofauti?
 
Kwa maelezo yako inaonyesha unaipinga aya ya Mungu katika kitabu cha Biblia inayosema hivi nanukuu
(Mtanifananisha na nani, na kunisawazisha naye, na kunilinganisha naye, ili tuwe sawasawa?) Mungu hapa kasema

maneno ma 3 Kunifananisha na Viumbe wake alivyowaumba kwa mfano Binadamu ,Majini na Malaika. Kuwa sawasawa na Mungu

kamwe Mwenyeezi Mungu hawezi kufanana navyo hivyo viumbe alivyoviumba yeye Mwenyewe Mungu. Neno la pili Mungu kasema hivi

Kunisawazisha Mungu na Viumbe wake huwezi kumsawazisha Mwenyeezi Mungu na Viumbe wake Binadamu ,majini na Malaika kuwa sawa sawa

na aliye viumba yaani Mwenyeezi Mungu. Neno la 3 Mungu amesema hivi Kumlinganisha Mungu na Viumbe vyake

Binadamu ,Majini na Malaika hawawezi kulingana navyo kwa vyovyote vile haiwezikani hata haingii kiakili huwezi kulinganisha Viumbe

aliowaumba Mungu na yeye mwenyewe muumba Mwenyeezi Mungu .Mkuu.. @
jmushi1 jaribu kutumia akili yako alivyosema Mungu katika

Biblia hiyo aya kisha utapata jibu kamili nakuacha hapo.....
"ufananishaji" uliozungumziwa baada ya uumbaji ni wa tofauti na ule uliozungumziwa wakati wa uumbaji.Kuwa makini mkuu,maneno yanaweza kutumika nyakati tofauti yakimaanisha mambo tofauti kabisa.

"Kufanana" kunakozungumziwa baada ya uumbaji si kwa kimaumbile,elewa context mkuu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom