Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

Status
Not open for further replies.

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
“The truth of the matter is that the father of the jinn is other than Satan, although Satan does belong to the species of the jinn. The father of the jinn is a hermaphrodite [khuntha]…There is no benefit in spending time with them, and their company is positively harmful. Since they are created of fire and air, their principal attributes are pride and rebelliousness. Those who frequent them are thereby infected with arrogance and conceit…Warfare amongst them is not rare, since their essential attributes are boastfulness, asserting superiority over one another, arrogance and overbearing tyranny…On the Day of resurrection, those of them who deserve punishment are thrown in to the cold hell, since they are not affected by fire.”

kitab_al-bulhan_-_iblees.jpg
 
Mbona kuna maandishi ya kiislam hapo juu pichani?ni muislam au?
 
Mkubwa hivyo, anawezaje kukaa ndani ya mtu? mi nilidhani mdogo kuliko piriton
"The truth of the matter is that the father of the jinn is other than Satan, although Satan does belong to the species of the jinn. The father of the jinn is a hermaphrodite [khuntha]…There is no benefit in spending time with them, and their company is positively harmful. Since they are created of fire and air, their principal attributes are pride and rebelliousness. Those who frequent them are thereby infected with arrogance and conceit…Warfare amongst them is not rare, since their essential attributes are boastfulness, asserting superiority over one another, arrogance and overbearing tyranny…On the Day of resurrection, those of them who deserve punishment are thrown in to the cold hell, since they are not affected by fire."

kitab_al-bulhan_-_iblees.jpg
 
The truth of the matter is that the father of the jinn is other than Satan, although Satan does belong to the species of the jinn. The father of the jinn is a hermaphrodite [khuntha]There is no benefit in spending time with them, and their company is positively harmful. Since they are created of fire and air, their principal attributes are pride and rebelliousness. Those who frequent them are thereby infected with arrogance and conceitWarfare amongst them is not rare, since their essential attributes are boastfulness, asserting superiority over one another, arrogance and overbearing tyrannyOn the Day of resurrection, those of them who deserve punishment are thrown in to the cold hell, since they are not affected by fire.

kitab_al-bulhan_-_iblees.jpg
Mbona anarembua?
 
Mkubwa hivyo, anawezaje kukaa ndani ya mtu? mi nilidhani mdogo kuliko piriton
hakuingii wewe mwilini mwako upepo wake tu ukikupata ndio baada ya siku tatu ndio unajigeuza kuwa ni shetani mbaya yeye huyo Mungu amemuumba ana uwezo wa kujigeuza kwa kila kitu Paka mweusi mbwa mweusi

kujigeuza upepo mkali kama wa kimbunga,kujigeuza nyoka wa aina ya chatu,kujigeuza Nge mweusi mkubwa, sasa upepo wake ukikupata ndio wewe unapata maradhi na waweza pia kufa usipofanya dua ya kumuondowa anakuwa ni mzuri ikiwa

hadhuru watu lakini akiwa ni mbaya anakuwa ni shetani anadhuru watu wapo Majini wabaya nao ni Mashetani na wapo pia majini wazuri ni viumbe tunaoishi nao ndani ya nyumba Sokoni mahali penye mkusanyiko wa watu hao ni wazuri wanatuona lakini sisi hatuwaoni wakiwa ni wabay ndio wanaitwa mashetani................. Bujibuji
 
MziziMkavu mimi hii elimu ya majini na mapepo siipend hata kusikia. kuna mchungaji mmoja ameandika kitabu kitwacho siri za kuzimu huyu pastor anaitwa pastor Mkumbo basi hilo lipicha hapo liko hivyo hivyo kwenye hicho kitabu lolo sijataka hata kukisoma nisije haribu mood yangu bure.

na niliwah kuskia majini wengi wanakaa jangwani ila wapo wanaokaa majini ni kweli?

siye wakristo 'lusifa' aliyekuwa malaika mkuu wasifa mbinguni alipotaka kaujitukuza kuliko Mungu alifukuzwa na Mungu na ndipo akaja humu duniani na ni baba wa mapepo. Jiulize anazijua siri nyingi kiasi gani za mbinguni? na je anazotreak nyingi kiasi gani za kumshawish mwanadamu kwa kwa kutumia loop hole ya siri za mbinguni anazozijua?

na umemwona anayo alama ya freemanson iyo ya vidole viwili kumbe haya mavitu yapo tu hata kama tutakataa?
 
Last edited by a moderator:

ndio ni kweli kabisa Majini ni wengi sana kuliko binadamu . Katika kila binadamu mmoja basi kuna majini unaweza kufananishana majini zaidi ya 1000. Usiogope hawa ni viumbe kama binadamu ila hawaonekani kwa macho lakini wapo kila sehemu, wanapenda kuishi majangwani,sehemu za takataka,chooni na kwenye miti mikubwa kwamfano mibuyu miembe, misufi, mivinje bahri na sehemu kwenye giza............ gfsonwin
 
MziziMkavu mimi hii elimu ya majini na mapepo siipend hata kusikia. kuna mchungaji mmoja ameandika kitabu kitwacho siri za kuzimu huyu pastor anaitwa pastor Mkumbo basi hilo lipicha hapo liko hivyo hivyo kwenye hicho kitabu lolo sijataka hata kukisoma nisije haribu mood yangu bure.

na niliwah kuskia majini wengi wanakaa jangwani ila wapo wanaokaa majini ni kweli?

siye wakristo 'lusifa' aliyekuwa malaika mkuu wasifa mbinguni alipotaka kaujitukuza kuliko Mungu alifukuzwa na Mungu na ndipo akaja humu duniani na ni baba wa mapepo. Jiulize anazijua siri nyingi kiasi gani za mbinguni? na je anazotreak nyingi kiasi gani za kumshawish mwanadamu kwa kwa kutumia loop hole ya siri za mbinguni anazozijua?

na umemwona anayo alama ya freemanson iyo ya vidole viwili kumbe haya mavitu yapo tu hata kama tutakataa?
Achana naye huyu mzizi mgumu,amekosa kazi akaanza kuchora chora midude haieleweki,mwenyewe anaiita jinn sijui shetani?huyu mtu bwana mi huwa simwelewi kabsaaaa,au hizo picha zake amempiga huyo jainn?hahaaaaaaa!!camera gani hiyo mkuu?au olympia?
 
Unaogopa nini mkuu........ olyset net
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom