Haya wale wa second round Mambo tayari

Haya wale wa second round Mambo tayari

Nacte mambo bado kabsa ..nashangaa Tcu wanapata raha huku sisi hamna kitu yaani
 
Xo ubish bhoy.... hyo ipo hvo kwa wale tuloapply mwanzo tukafanikiwa na hawa walofanikiw sa hv ndo inadisplay hvo ka ilvokuwa mwanzo....

Mfano s walsema sec round mwisho tarh 30/9 c ndvo?
Af hayo maelezo yanasemaje?
 
Mi niliapply kwa mara ya kwanza kabisa na nikaambiwa nimechaguliwa lakini selection ilitoka sikupangiwa ktk vyuo vyote nilivyokua nimeomba,nilitaka ni edit information lakini ilishindikana kwani nilikua nikiambia tayari nimeshachaguliwa nisubiri kupangiwa na Cas imefungwa.

USHAURI
Kama na wewe umeandikiwa hivyo jaribu kua mpole ucfurahi saaana coz mwisho wa siku unaweza usilikute jina lako katika orodha ya watakao pangiwa 2 batch.
 
basi itakuwa imebadilika kwa wachache au sio wote

attachment.php
issue ni kwamba hawajafanya editing kwenye baadh ya v2 ,ila waliochukuliwa wamechukuliwa ,waliotemwa wametemwa kama hutak kuamini ngoja nikuitie juma nyosso akushtue kidogo.
 
issue ni kwamba hawajafanya editing kwenye baadh ya v2 ,ila waliochukuliwa wamechukuliwa ,waliotemwa wametemwa kama hutak kuamini ngoja nikuitie juma nyosso akushtue kidogo.
unafi__ wee msse__ :mad2:
 
Kwa mtu ambae hajachaguliwa hawezi kuona kama kuna mabadiliko lakini kwa wale waliopenya 2ND ROUND kuna kitu kimebadilika kwenye profile zao.
 
N kwel changes zpo hata kwng wameniandkia that i am provisional selected tatz wame2mia 1st round na cio 2nd round labd 2ngoje 2one
 
Mi niliapply kwa mara ya kwanza kabisa na nikaambiwa nimechaguliwa lakini selection ilitoka sikupangiwa ktk vyuo vyote nilivyokua nimeomba,nilitaka ni edit information lakini ilishindikana kwani nilikua nikiambia tayari nimeshachaguliwa nisubiri kupangiwa na Cas imefungwa.

USHAURI
Kama na wewe umeandikiwa hivyo jaribu kua mpole ucfurahi saaana coz mwisho wa siku unaweza usilikute jina lako katika orodha ya watakao pangiwa 2 batch.
Duuuh hilo nalo neno aisee
 
Ukifungua inadisplay ifuatavyo

****************************
Update:

Kwa wale waliofanya 2nd round ndo watanielewa hiyo text imeappear from today kabla ya hapo kilichokuwepo ni list inaoonyesha kozi tano ulizochagua!
-kosa walilofanya ni kudisplay ile text ya waliopata first round bila kuiedit kwa ajili ya waliopata 2nd round

Yaaap hata mm nmemuta hivyo..!
Kua nmechaguliwa nisubiri...
Lakin kuna wenzangu Wao bado ila waki view selections wanakuta remaing capacity n 0 kweny koz walizoomba 2nd round imekaaje hi?
 
Attachments

  • Screenshot_2015-10-06-10-58-16.png
    Screenshot_2015-10-06-10-58-16.png
    23.8 KB · Views: 409
wakuu me kuna rafk yng namwnglzia lkn nashangaa mbn profile yk haijabadlk iko vle vle mwnz, sasa hiyo inamaan hajakua selected au ndo hvy nisubir profil inawz ikabdlk kwny systm kwmb yuko selctd. naomb kufahmshw wakuu
 
Vijana tulieni, vyuo vipo vingi tu mtapata nafasi na bum juu
 
Yaaap hata mm nmemuta hivyo..!
Kua nmechaguliwa nisubiri...
Lakin kuna wenzangu Wao bado ila waki view selections wanakuta remaing capacity n 0 kweny koz walizoomba 2nd round imekaaje hi?

Mkuu umetuma na picture kabisa kuonyesha jinsi ilivyo,n vyema

Naomba kuitumia hiyo hyo,
Nahitaji maelezo mazur yasioweza kumpanikisha mzee nnayehitaji kumpa ripoti ya kijana wake

Kwenye profile ya kamanda mdogo kuongezeka mbwembwe za column ya second round ( yenye 2 kwanzia juu mpaka chini) ndio kusema amepelekwa 3rd round au?

Au hata hawo waliofanikiwa kupenya kwenye hcho kinyang'anyiro pia waliongezewa hzo mbwembwe za column ya "second round" (yenye 2 kutokea juu mpaka chini ?)
 
Back
Top Bottom