Haya wa Darslam Nipokeeni Ubungo

Haya wa Darslam Nipokeeni Ubungo

Don Mangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,199
Reaction score
855
Natokea huku ambako Sugu ni rais baridi ndo nyumbani kwao. . .I hope kufika huko muda ya jioni kwenye saa moja hivi.
 
Ukifika ubungo chunga sana mfuko wako wa viazi na maharage coz watakuliza....
Suburi wadaslam watakupokea
Vp Tuntufye umemwacha hajambo??
 
Ukifika ubungo chunga sana mfuko wako wa viazi na maharage coz watakuliza....
Suburi wadaslam watakupokea
Vp Tuntufye umemwacha hajambo??

Hahaha, haya bana. . .Tuntufye mzima kabisa, na Anangisye anawasalimia sana. . .
 
umechagua kilicho bora...
nipe details utakua umevaaje?
au ile ile surual yako ya kijani?
 
karibu mkuu.

ukifika tutafute mabalozi wa nyumba kumi ili
tukutafutie chumba sinza kwa vijana wenzio.
 
Natokea huku ambako Sugu ni rais baridi ndo nyumbani kwao. . .I hope kufika huko muda ya jioni kwenye saa moja hivi.

tena usipate shida ukifika tu ubungo ulizia mtu anaitwa junior...wananijua mpaka nyumbani...watakuleta
 
Natokea huku ambako Sugu ni rais baridi ndo nyumbani kwao. . .I hope kufika huko muda ya jioni kwenye saa moja hivi.

Na wewe umepotea njia!

Dar hakunaga Wing wa wanaJF tafadhali!
Usingewataarifu hata!
Na ktk ki2 kinachoniboa ktk wanaJF wa Dar ni hiyo tu!
Ingependeza sana wakawa pamoja!
 
Utanikuta stendi nakusubiria. . .usisahau kuninunulia kapu la nyanya, vitunguu, hoho na matunda matunda njiani.

Safari njema.
 
Niko hapa landmark hotel,ukija niDIPU kwa namba ile ile.
 
Atayekupokea msisitize akulete kinondoni!!!ndo dar es salaam yenyewe!!!
 
Back
Top Bottom