Haya wa Darslam Nipokeeni Ubungo

Njoo kwetu mbagala kwenye michiriku achana nao wa sinza miziki yao imefungiwa kwenye viyoyozi.
 
Karibu sana.usisahau hela ya mavuno tuje tuiteketezee bar.
MP.
 
nshakulipia chumba tunatomboka guest house maeneo ya kambale mavi mchachani we ukifika ulizia tu room no.52
 
Nani kakudanganya!!?au kwa sababu huko kuna waCongo man wengi'Hujafika Kino Clan hujafika Dar

hahaha...wakongo wako saluni za kike tu...na hao wasanii...
vijana na wazee wajanja wako sinza bab!
ngoja kwanza niitafte sredi moja iliongelea hili swala..sinza na kinondoni.
 
Back
Top Bottom