Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,169
- 48,681
Nikiwaita wajinga mnakasirika.
Kutwa kutwa mnakesha kufuatilia habari za uzushi kutoka kwa Mange Kimambi na Polepole ambao wao pia ni wana CCM ambao mfumo umewakaanga.
Polepole ana madudu mengi sana. Kesho nitayaanika hapa.
Mange baada ya kukosa Ubunge ndipo kaja na utetezi uchwara.
JPM alimpa million 500 kumfunga mdomo mbona hasemi hilo?
Haya tuseme yote ni kweli, Watanganyika mnaibiwa matrilioni ya pesa. Mnasemaje sasa?