Haya Tena...

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
110.jpg



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi tuzo Mke wake Mama Salma Kikwete ambaye ni Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA kwa kutambua mchango wa taasisi hiyo katika mapambano ya Ukimwi wakati wa maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani ambayo kitaifa iliadhimishwa mkoani Lindi kwenye uwanja wa Ilulu na kushirikisha wadau mbalimbali wanaopambana na janga la ugonjwa wa ukimwi nchini.Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Lindi,Mh. Ludovick Mwananzila.
 
anastahili, akikohoa tu anapata fund, lakini tusasahau na juhudi yake pia, mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake
 
Sa si wangepeana huko nyumbani kwao tu? Mapicha ya nini wakati ni kama kutoa mfuko wa kushoto unapeleka wa kulia
 
Binafsi naona aibu, yasiyowezekana popote DUNIANI yanawezekana TANZANIA pekee. Eeee MUNGU tunakuomba endelea kutuvumilia kwani ipo siku tutaamka na kujitambua.
 
Back
Top Bottom