Haya Tena...

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,285
2,000
110.jpgRais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi tuzo Mke wake Mama Salma Kikwete ambaye ni Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA kwa kutambua mchango wa taasisi hiyo katika mapambano ya Ukimwi wakati wa maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani ambayo kitaifa iliadhimishwa mkoani Lindi kwenye uwanja wa Ilulu na kushirikisha wadau mbalimbali wanaopambana na janga la ugonjwa wa ukimwi nchini.Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Lindi,Mh. Ludovick Mwananzila.
 

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,135
2,000
anastahili, akikohoa tu anapata fund, lakini tusasahau na juhudi yake pia, mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake
 

gobore

JF-Expert Member
Aug 17, 2009
717
195
Sa si wangepeana huko nyumbani kwao tu? Mapicha ya nini wakati ni kama kutoa mfuko wa kushoto unapeleka wa kulia
 

kizaizai

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,503
2,000
Binafsi naona aibu, yasiyowezekana popote DUNIANI yanawezekana TANZANIA pekee. Eeee MUNGU tunakuomba endelea kutuvumilia kwani ipo siku tutaamka na kujitambua.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom