Haya tena mapenzi hayooooooo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya tena mapenzi hayooooooo

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jul 25, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [​IMG]


  Mkuu Boflo na Mke wake Boflo...................
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,805
  Likes Received: 6,315
  Trophy Points: 280
  Amemrahisishia mama kazi ya kukwepa magari!
   
 3. majuto mperungu

  majuto mperungu JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 394
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  kugawana majukumu ndo msingi wa mafanikio
   
 4. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mambo ya kusaidiana kazi
   
 5. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  tehe tehe....... Najua kumtunza mke.........chezea Bofloooooooooooooooooooooooooooooooo weye
   
 6. Rodcones

  Rodcones JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 16, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hayo saafi kabisa maana sisi wanaume tunatakiwa kutoa msaada panapo bidi kwani hata wao wanawake ni watu huchoka
  Akichoka kubeba mtoto ni sawa kabisa ilimradi ni mke wange na mtoto ni mwanangu!!!!!!!!!
   
 7. BUBE

  BUBE JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  MziziMkavu,. Ni jambo bora kumbeba mtoto hata kama wewe ni mwanamme. INapendeza kumsaidia mama watoto wako, kwa kuwa wao pia huchoka maana watoto wengine wazito kama nini sijui. Sometimes kama mama amejifungua kwa shida ndo anahitaji msaada zaidi kuliko wakati mwingine. LAKINI!!!!! Nijuavyo mimi, wanaume wengi huwa hawapendi kuwafunga watoto mgongoni kwa mbereko kama alivyofanya huyo pichani. Au watawaweka watoto begani (kulingana na umri) au watawashika mikononi (kufuatana na umbali wa kutembea) ama kwa wale wenye nazo watanunua mifuko/mibebeo ya kizungu (-sijui neno lake sahihi :disapointed:). Mambo haya naona siku hizi wababa wengi wameamka wanawasaidia wapenzi wao kutunza/kulea/kuangalia mtoto. Kwa bahati mbaya sisi hatujafikia kiwango cha kufanya uchambuzi kwa mfano, kama mama anakipato kikubwa, baba unalazimika kukaa nyumbani na kutunza familia...baada ya negoatiation. We would rather be on the street doing nothing (tunazunguka tu) kuliko kujulikana kuwa unaangalia watoto....maana hilo nalo ni jukumu la muhimu sana kwa familia na taifa kwa ujumla!
   
 8. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Boflo , mbona kama umejikojolea?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  ohhhhhhhhh raha mwanamme akimsaidia mkewe.inshallah mungu awalainishe nyoyo zao wale wasosaidia wake zao.
   
 10. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Heheheeeeeeee
   
 11. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Mbona kama hawako safari moja????
   
 12. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  duh...una macho makali.....

  nilikalia maji barazani
   
 13. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #13
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sio kujikojolea kanya kabisa,umeniwahi nilitaka kumuuliza au ni mtoto amemchafua.
   
 14. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kweli kile kitangazo cha tupinge mabavu kinafanya kazi
   
 15. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  This is what we call a real maaan
   
 16. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #16
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mkuu hivi siku hizi watu wana-oa au olewa? Au ndio limbwata!!!!!!!!!!!
   
Loading...