Haya tena gari yangu hiyo mnasemaje wabongo

Mzizi umenikumbusha mbali sana enzi zangu za utotoni, tulikua tunakaaga kando ya barabara kuu na kugombania magari, utaskia 'langu hiloo, nimeliwahi mimi', sometimes zilikua zinapigwa kabisa!!

Hiyo mashine ukitua nayo bongo ndo itakua msiba wako!! its either majambazi au virusi!!
Mkuu Kana-Ka-Nsungu Je nikienda kwa Wachungaji waniombee Dua ya kinga au kwa masheikh waniombee Dua ya kinga siwezi kutamba nalo hapo Dares-Salaam? unanishauri vipi?
 
Mkuu Kana-Ka-Nsungu Je nikienda kwa Wachungaji waniombee Dua ya kinga au kwa masheikh waniombee Dua ya kinga siwezi kutamba nalo hapo Dares-Salaam? unanishauri vipi?

Acha tu mkuu, hiyo kitu hata kule kwenye machimbo yetu ya kujificha na wake za watu haiingii!! Ukipata mlupo lazima uwe na mkwanja wa kuupeleka viwanja vya kati 5 stars!! damage hiyo kaka..
 
Mkuu Thanda mtaniloga silileti Ng'ooo imeshafika mpaka na kugongwa ajali tena? khaa nilikuwa na mpango wa kulileta hilo gari silileti tena nimeshaghairi

Namshukuru Mungu kwa kuwa mtanzania asiyeishi katika nchi yake yenye matatizo ya kifisadi. Ila nimeamua kurudi ili nifanye tathmini ya mambo jinsi yalivyo. Lakini ni bora Ukalipeleka Tanzania kuliko Huku Bondeni....ukitaka kujua kama huwezifika basi kanunue ile movie "JERUSALEMA" uone jinsi litakavyokutoka mikononi mwako.

 
405160_217303031705094_1053050851_n.jpg


Mnasemaje kuhus hiyo gari yangu nikiileta hapo Dares-Salaam kuna njia za kupita hilo gari langu?

Njia zipo wacha kudharau nchi yako wewe huo ni ulimbukeni. Hii gari ni yako na it has nothing to do with anyone of us kwa hiyo swali unalouliza linaonyesha ulivyo selfish na mtu wa misifa. Hebu leta kwanza tuone acha mbwembwe mkuu kwani nowdays watu wanapenda vitendo zaidi kuliko misifa.,
 
Mkuu jamii01 Ulaya hata kama huna pesa ukipata wazamini wa kazini kwako boss wako akikuzamini

unapata gari hata la mkopo mkuu sipo bongo nipo majuu gari huku ni kitu cha kawaida watu wanaangalia una pesa kiasi gani Bank

hawaangalii una gari au nyumba majuu gari au nyumba ni vitu vya kawaida mkuu majuu huwezi kufananisha na huko kwetu bongo ukiwa

na Gari unawapata mademu kirahisi huku kinachoangaliwa una pesa kiasi gani Bank mkuu amka umelala wewe.............

Hapo kwenye red umechemsha; Ujanja wa kicheche kula kichwa badala ya kiwiliwili. Inasikitisha kama kuna a great thinker humu ambaye bado anatafuta assets kwa ajili ya kuokoteza makahaba. Halafu naomba uelewe ili upate msichana uhitaji kuwa na ndege au gari kama hilo ila kama akili yako imetekwa nyara na ujinga lazima utaamini hivyo.
 
Barabara za Bongo zilivyojaa matuta! Utakufa kwa presha wakati likijigonga maeneo ya katikati ya chasis
 
Back
Top Bottom