Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 40,842
- 2,000

Mnasemaje kuhus hiyo gari yangu nikiileta hapo Dares-Salaam kuna njia za kupita hilo gari langu?
Mkuu mbona umehamaki kama vile una ugeni hapa jamvini?unayo au yakununulia kwenye picha?kwanza unajua hata bei za magari wewe...ebu kuweni na akili hata kidogo kama ya kuku..
acha njia za kupita hata hali ya hewa haitaruhusu gari aina hiiMnasemaje kuhus hiyo gari yangu nikiileta hapo Dares-Salaam kuna njia za kupita hilo gari langu?
kwa hii rangi usipite njia za jangwaniMnasemaje kuhus hiyo gari yangu nikiileta hapo Dares-Salaam kuna njia za kupita hilo gari langu?
MKUU Amavubi Kwa Rangi tu Wana Yanga wataiharibu gari yangu? au kwa ushabiki wangu?kwa hii rangi usipite njia za jangwani
Mkuu jamii01 Ulaya hata kama huna pesa ukipata wazamini wa kazini kwako boss wako akikuzaminiunayo au yakununulia kwenye picha?kwanza unajua hata bei za magari wewe...ebu kuweni na akili hata kidogo kama ya kuku..
Mkuu MadameX nitakuwa nayo silaha kiunoni pamoja na body guard wangu mmoja nitakuwa ninatembea nae unasemaje?Utaendesha barabara gani....zaidi utaweka roho yako juu
Mkuu watu8 kwani nikiwa na silaha kiunoni utanijuwa?ukijaribu kutaka kuniibiwa nakuwasha nayo unasemaje?Gari kama hiyo utakua waiendesha Masaki - Posta tu, huku kwingine kuna tutaz kama ugomvi, mfano hapa Migombani karibu na kwa JK au kule Akachube
Mkuu watu8 Silaha itakuwa ni ya moto sio manati si unajuwa wazee wa Mabwepande shida yao uwape pesa tu mambo yote watayamaliza wao wenyewe Mwenye Pesa sio Mwenzio....Loh! hiyo silaha labda yawe manati...ila kama ni cha moto wazee wa Mabwepande lazima watakuwinda
![]()
Mnasemaje kuhus hiyo gari yangu nikiileta hapo Dares-Salaam kuna njia za kupita hilo gari langu?
mbona umekuwa mbogo mkuu? Raha jipe mwenyewe.unayo au yakununulia kwenye picha?kwanza unajua hata bei za magari wewe...ebu kuweni na akili hata kidogo kama ya kuku..
Mkuu Thanda mtaniloga silileti Ng'ooo imeshafika mpaka na kugongwa ajali tena? khaa nilikuwa na mpango wa kulileta hilo gari silileti tena nimeshaghairiUsipogongwa within a week or two sijui!!!
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us