East Africa Union tarrifs

Rumanyika Isack

New Member
Jan 7, 2024
1
0
East Africa Union Tarrifs ni makubaliano nadani ya nchi za Afrika Mashariki kwenye issue ya mipaka na ulipaji wa kodi za uingizaji bidhaa.

Kwa maoni yangu hii sheria ina mapungufu mengi sana japo watu wengi hawajui. Harmonised System Codes (HS Codes) zinazotumia kwenye kwenye mipaka (Customs) ya COMESA especially kwenye excisable products imeshindwa kuwalinda manufacturers na ku promote importers of finished goods.

HOW!!!
Unapo import finished product kama pombe (bottled wine) kwenye customs utatakiwa kulipa Excise Duty ya Tsh 5000 kwa kila lita ya wine lakini utapata stamps na utaingiza sokoni bila shida yoyote.

Uki import in bulk mfano gari/contena la wine la lita 30,000/ utatakiwa kulipa vile vile Excise Duty mpakani lakini kama utaenda kwenye hiyo nchi nyingine na kuzalisha ( bottling) wine hiyo hiyo utatakiwa tena kulipia LOCAL EXCISE DUTY ya Tsh 5000/ kwa lita.

Unajikuta kwamba ukianziasha kiwanda Uganda na ukasema utoe wine (bulk wine) kwa gari Tanzania utalipia jumla ya Excise Duty 10,000Tsh kwa Lita lakini nikiileta wine hiyo hiyo Uganda kwenye chupa kutokea Tanzania nitailipia 5000Tsh kwa lita tu.

Je, hii mdau unaona ipo sawa?
 
Back
Top Bottom