Haya sio mafuta ya kupikia kweli?

Yanafaa kupikia sana,hayana cholesterol,ila ukiyapikia ni kuyafuja coz its an expensive item,pia mara nyingi yanatumika kwa salad hizi mbichi,maana hayagandi,kwenye marination ya nyama yaani unapoweka madikodiko ili uchome nyama yaani marination unatumia hayo hayagandi,ukikosa haya unaweza kutumia ya alizeti.Ila hayo pia kwa kijipaka yanafaa ni mazuri mno,hicho ni kiingereza ila ni mafuta ya zaituni kwa kiswahili.
 
We unafanya mchezo huko kati watu washaanza kuzungumzia mazungumzo ya amani kusuluhisha mgogoro yafanyike vipi.
Hapana bana ataelewa tu
Ila usiongeze ugomvi ati watakiwa kusuluhisha
 
Yanafaa kupikia sana,hayana cholesterol,ila ukiyapikia ni kuyafuja coz its an expensive item,pia mara nyingi yanatumika kwa salad hizi mbichi,maana hayagandi,kwenye marination ya nyama yaani unapoweka madikodiko ili uchome nyama yaani marination unatumia hayo hayagandi,ukikosa haya unaweza kutumia ya alizeti.Ila hayo pia kwa kijipaka yanafaa ni mazuri mno,hicho ni kiingereza ila ni mafuta ya zaituni kwa kiswahili.
Sawa shukrani,,nitapaka
 
Aroo, mi sipangiwi kama Magufuli hvyoo, ningetaka kumwambia ningemwambia.

Kamawewe unatakakumwambia hivyo mwambie, usitumie mgongo wangu kusema unachotaka kusema wewe.
Hahahaha haiyaa sasaa
 
Haya nimemaliza kujipaka ngoja nione kama wiki hivi
Una bahati sana mkuu, hayo ndio mafuta bora duniani, halafu in multipurpose, ukiyatumia kwa kupaka utakuja leta mrejesho jinsi utakavyokuwa na ngozi ya kuvutia, pia ni mazuri sana kwa kupikia na hata kufanyia massage.
 
Sawa ngoja nipake ntaleta mrejesho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom