Nimekisikia mama....na kiko njiani kupata "bango" lake chenyewe kisikike zaidi!!!
kwa ndege moja ya ATC (aka anytime cancellation) and Precion Air (aka precise cancelation aka after departure confirmation) na ile ndege gani tena basi tumebweteka na Mwanza City wako veri veri praud wana uwanja wa ndege.....kwa Tanzania huo ni uwanja wa ndege wa tatu kwa uzuri ukifuatiwa na ZIA (huu ni funga kazi). Iko siku tu.....
...I meant it!
SteveD,
Je,inawezekana mwandishi alikuwa na dhamira ya maneno hayo kusomeka kama mistari miwili tofauti?
I mean,mstari wa kwanza ukaribishe halafu wa pili ufahamishe mahali ulipo?
...an alternative way of looking at our misery...
ZIA ni uwanja mzuri by far ukilinganisha na Mwanza airport
Sikatai, kumbuka hii ni Mwanza Airport na nyingine ni Zanzibar International[/COLOR] Airport.
...Na mimi naomba niwe mjumbe wa hiyo tume!!!!!!!!!!!!!!!!!!Atafutwe mwekezaji na iundwe tume kuchunguza hili tatizo la "WELCOME MWANZA AIRPORT"