Haya sasa... "WELCOME MWANZA AIRPORT" !!!

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,254
...I meant it! :)

steved-albums-mh_pinda-picture189-welcome-mwanza-airport.jpg

kwa ndege moja ya ATC (aka anytime cancellation) and Precion Air (aka precise cancelation aka after departure confirmation) na ile ndege gani tena basi tumebweteka na Mwanza City wako veri veri praud wana uwanja wa ndege.....kwa Tanzania huo ni uwanja wa ndege wa tatu kwa uzuri ukifuatiwa na ZIA (huu ni funga kazi). Iko siku tu.....
 
Steve mwanangu kazi tunayo pevu. Umewahi sikia kitu inaitwa AFRICOM?
 
kwa ndege moja ya ATC (aka anytime cancellation) and Precion Air (aka precise cancelation aka after departure confirmation) na ile ndege gani tena basi tumebweteka na Mwanza City wako veri veri praud wana uwanja wa ndege.....kwa Tanzania huo ni uwanja wa ndege wa tatu kwa uzuri ukifuatiwa na ZIA (huu ni funga kazi). Iko siku tu.....

ZIA ni uwanja mzuri by far ukilinganisha na Mwanza airport
 
...I meant it! :)

steved-albums-mh_pinda-picture189-welcome-mwanza-airport.jpg

SteveD,
Je,inawezekana mwandishi alikuwa na dhamira ya maneno hayo kusomeka kama mistari miwili tofauti?
I mean,mstari wa kwanza ukaribishe halafu wa pili ufahamishe mahali ulipo?
...an alternative way of looking at our misery...
 
...Yawezekana kabisa mkuu Suki. Na katika hili swala, tatizo lawezekana kuwa ni yale mapungufu yangu/yetu ya kutokuweza kuona dhamira ya mwandishi bali kuona picha tu!! Lakini kama ulivyoelezea tena, hii misery yaweza kubakia nasi maana kuielewa dhamira ni kitu kigumu ati. :)
 
Tatizo bajeti za bongo ni consumption bajeti na kwa manufaa ya wachache. Tusubili labda mchina atapewa na kuumiliki kwa 20yrs. Yap labda kizazi cha baadae kidogo kitakuwa na nidhamu ktk mali za selikali. Taa na mamlaka husika wanatakiwa kuboresha mazingira kwa usalama wa anga.
 
Mimi naona mambo mawili hapa (2) labda Steve D unijurishe tunajadiri nini hasa hapa?
Kwanza hayo majenge kwa A City like Mwanza to have a small Air port like that.... at the expense of all the richness that mkoa brings to the National revenue.

Na la pili, ambalo ni kubwa kabisa ni hiyo........''WELCOME MWANZA AIRPORT'' nadhani kuna kitu kina miss kwenye hiyo sentence,conjunction haipo hapo.ikisomeka kama ilivyo nikama kuna mgeni anitwa mwanza air port anakaribishwa!
Sasa sehemu kama hiyo,alafu mambo yanakosewa kama hivyo na yanaachwa yaonekane kwa wageni wetu.........!!!!kweli
 
Atafutwe mwekezaji na iundwe tume kuchunguza hili tatizo la "WELCOME MWANZA AIRPORT"
 
Sikatai, kumbuka hii ni Mwanza Airport na nyingine ni Zanzibar International[/COLOR] Airport.

Mama,
Hii huwa inaniachaga hoi kwenye airports zetu....." International" indeed!
Hivi ni lazima kuita international airport wakati hata hadhi ya airstrip ni hatihati! Kama ya ZIA NDO USISEME...check-in area.........( jazia mwenyewe)
 
Niliwahi kusikia kuwa Mwanza Airport imejengwa juu ya mali "Gold" na wanampango wa kujenga kiwanja kipya (lengo kupisha wateule wachukue madini) katikati ya Igoma na Kisesa upande wa kushoto as ukielekea Musoma from Mwanza City. Kama kuna mwenye info rasmi atujulishe kama hii iko ndivyo sawa au ndivyo sivyo.
 
Jamani hiyo tume ikiundwa naomba izingatie itikadi za vyama pamoja na ukabila tehehehehehehhe!!! Naomba nisikosekane katika kamati itakayofanya marekebisho yake pale Musoma International Airport
860747023_5fcdbbd778.jpg
 
Back
Top Bottom