haya sasa wana udsm magharama ndo hayo!!

fortunho

Senior Member
Aug 15, 2012
137
53
angalieni kwenye website ya udsm ili mjue siku ya kuripoti na gharama kebekebe yanayo hitajika chuoni
 
It is costless to study at university of dar es salaam than any other college here in tanzania..kumbe hata wakininyma mkopo wao,bado ntaweza kuishi tu hapo mjini!
 
UDSM we acha tu,costless Tsh.77,400/=

wale wa DUCE na Mkwawa mtafika kwenye campus tarehe 1 october 2011,kama tangazo lilivyoandikwa,sasa ni kama too late au waifanyie marekebisho tangazo lao.
 
Kaka msiogope,,,ila mje na pesa ya matumizi mana bumu laweza cnelewa.Karibuni Udsm,the home of gifted children,hapa mjiandae kukariri sana
 
Back
Top Bottom