We utakuwa wa kizazi Cha WhatsApp!! Kwani IMF wajomba zetu?
Usisahau Tz ni dona kantiri
Hahaha kwa hiyo ndio kisingizio cha kukamua watu? Hell nohatulipwi mshahara in time?
Hivi ukiwa na njaa huwezi kujua mpaka uambiwe?Nani aliyekwambia Tanzania ni masikini?
Sshhhhhhh.... tamka taratibu wasikusikie MkuuDona wa majungu
AiseeMpaka sasa inaonekana kunahujuma ilipangwa na IMF kuihujumu Tanzania dhidi ya takwimu za kiuchumi,
Naipongeza serikali kwa kushitukia mchezo huo mchafu,kwa kutoichapisha ripoti hiyo,IMF walitaka tujikaange kwa mafuta yetu wenyewe.
Hili limethibishwa leo ikulu na kiongozi mwandamizi kabisa wa bank ya ADB ,amesema uchumi wetu unakua vizuri na unatarajiwa kukua vizuri kwa asilimia 6 mpaka 7.
Nzuri zaidi ni mwafrika mwenzetu.
Nategemea Zitto ajitokeze na kundi lake kumpinga kiongozi huyu mbobezi wa masuala ya kiuchumi .
Mwisho, ni nani wako nyuma ya hujuma hii dhidi ya nchi yetu?,na nini lengo lao?
Huyu jamaa hata Afrika hajawahi kufika.., kuna jamaa ka reply kuwa huyu lord hajawahi ku adress British Parliament 1835..Mkuu nenda kwenye jumba la makumbusho pale London utaikuta. Hiyo yako ndiyo ya kuedit jaribu pia kumsearch huyo aliyekotiwa utajua alitembelea wapi mwaka 1835 mkuu.
Hiu
Huyu jamaa hata Afrika hajawahi kufika.., kuna jamaa ka reply kuwa huyu lord hajawahi ku adress British Parliament 1835..
Sasa which is which, nani wa kumwamini..??
IMF ilifikia data yake kwa kushirikiana na wataalamu wetu lamina Serikali ikagona kuchapisha labda wakuu hawakupenda. Walirudi tena na kufika Ikulu baada ya majAdiliano waliahida kupitia upya. Makamu wa Rais wa WB na Rais wa AfDB walafika Ikulu kusalimia wakasema waliosema vinginevyo wasingetoka salama wasiojulikana wakiangalia.IMF inaweza kuhujumu nchi maskini kama hii Tanzania?
Tunapokwenda kuomba misaada wanakuwaga shangazi zetu?We utakuwa wa kizazi Cha WhatsApp!! Kwani IMF wajomba zetu?
You must be stupid kuamini kuwa uchumi unakua wakati wafanyabiashsra wanarudisha leseni kwa ukosefu wa biashara.Mpaka sasa inaonekana kunahujuma ilipangwa na IMF kuihujumu Tanzania dhidi ya takwimu za kiuchumi,
Naipongeza serikali kwa kushitukia mchezo huo mchafu,kwa kutoichapisha ripoti hiyo,IMF walitaka tujikaange kwa mafuta yetu wenyewe.
Hili limethibishwa leo ikulu na kiongozi mwandamizi kabisa wa bank ya ADB ,amesema uchumi wetu unakua vizuri na unatarajiwa kukua vizuri kwa asilimia 6 mpaka 7.
Nzuri zaidi ni mwafrika mwenzetu.
Nategemea Zitto ajitokeze na kundi lake kumpinga kiongozi huyu mbobezi wa masuala ya kiuchumi .
Mwisho, ni nani wako nyuma ya hujuma hii dhidi ya nchi yetu?,na nini lengo lao?
Why not while IMF is the Western apparatus a new colonialism machinery to subortage developing countries?IMF inaweza kuhujumu nchi maskini kama hii Tanzania?
We utakuwa wa kizazi Cha WhatsApp!! Kwani IMF wajomba zetu?
Kurudisha lesen kunaambatana nansababu nyinyiYou must be stupid kuamini kuwa uchumi unakua wakati wafanyabiashsra wanarudisha leseni kwa ukosefu wa biashara.
Hata mimi takwimu za IMF sizipendi.