Haya sasa kumekucha twende Jangwani

Haya sasa kumekucha twende Jangwani

Wanakwenda kupamba xherehe ya ubingwa wa ngao ya hisani ya yanga c mnajua yanga ni timu ya wananchi.
 
Mwaka huu hadi raha nimepata majina mengi sana kwa jambo hili,1) makapi
2) oil chafu
3) wanywa viroba
4) Mang'ombe
Haya bado nangoja mengine ila ili la mang'ombe kupakiwa kwenye malori na kupelekwa mnadani ndilo limenichekesha,na kuwahurumia wanaopakiwa kwenye malori

Mingombe si ndo hii inapelekwa mnadani
 
Mingombe si ndo hii inapelekwa mnadani

andaeni na pampers zakumwekea ndugu yenu LOWASA atakapotoa UHAROoo baada ya matokeo. mnadhani watanzania ni wajinga kiasi hicho.. UKANDA umeshawashtua watu wenye akili zao. wanywa VIROBA mtaendelea kujifurahisha humu JF. be prepared...
 
Inawezekana kabisa umeandika ukiwa chooni unaharisha dogo!
 
Kuna nini Leo? Nimesikia eti uongozi Wa juu Wa ccm umeamua kuwakutanisha Diamond Na Wema sepetu ili kuwapatanisha?
 
andaeni na pampers zakumwekea ndugu yenu LOWASA atakapotoa UHAROoo baada ya matokeo. mnadhani watanzania ni wajinga kiasi hicho.. UKANDA umeshawashtua watu wenye akili zao. wanywa VIROBA mtaendelea kujifurahisha humu JF. be prepared...

We ni kanyama kagovinda
 
attachment.php
 
Inasikitisha sana,na polisi wanaangalia tuu malori kubeba abiria
 
Back
Top Bottom