Haya nisemayo ni toka ndani ya NAFSI yangu mwenyewe!

LiverpoolFC, ukweli ambao wengi hawataki kuukubali ni kuwa katika hali ya sasa kwenye taifa letu kuna vitu visivyowezekana kabisaaa...!

  • kudai unaipenda Tanzania huku unaitetea CCM, huo ni uwongo na unafiki.
  • kudai unapiga vita rushwa huku unaifagilia CCM, huo ni ufisadi na uwizi.
  • kuhubiri amani na utulivu huku unaisifia CCM, huo ni ujambazi na uuaji.
  • kujiita mzalendo na huku umeikumbatia CCM, huo ni usaliti na uhaini.
Hapana, orodha ni ndefu lakini bottom line ni kwamba CCM na uhalifu ni kama mapacha, kama unachukia uhalifu huwezi kuipenda CCM, period.



Mag3! Bila shaka umeangusha vipengele ambavyo hakika umekua gumzo karibu kila kaya ambao Mtanzania wa leo anaupitia.

Mi binafsi siwezi kusema mengi ila hakika kutokana na hali ilivyo kwangu binafsi hakika natamani sana ningejitwika mzigo huu unawalemea Watanzania niing'owe haka kachama machoni mwa Watanzania.

Lakini nina Imani ya kwamba siku zao zitahesabika ktk ulimbende wa kisiasa hapa Tanzania na itabaki historia ya kwmb imewaweka raia pabaya kimaisha.

Mi siikubali kabisa!
 
Last edited by a moderator:
wote mnaichukia, that includes me.

Je badala ya kuandika humu JF ambapo ni watanzania wachache sana labda mil 1 kati ya 40 wenye uwezo wa kusoma, tunafanya nini (physicaly) kurihisha chuki na hasira zetu dhidi dhalimu huyu!?


LiverpoolFC no offense my brother lakin ka hali halisi ya TZ inaezekana kwa family yenu ni asilimia moja tu ndo anaweza tumia inteqnet na kujieleza, Je nani atawasemea the rest!? Muda ni sasa


kama wewe una uwezo wa kumiliki gari na bdo unaona hali ngumu, niambie kuhusu hawa
1. Wasomi waloko vijiweni
2. Wakulima wasolipwa sahihi
3. Mahouseboys/girls
4. Wafungwa
5. Underpaid employees
6. Wagonjwa, walemavu
7. Watanzania

2015 ni mbali sana, muda ni leo tuwatoe leo. Ajali na majanga hayatangoja mpaka 2015 spika abadilishwe



Puppy! Hakika nakwambia ya kwamba kwa hali tunayopelekwa na hawa majambazi,siku haiko mbali kwa ukombozi wa Watanzania,MUNGU yupo macho na hata hajazinzia kama hawa mafisadi wanavyolala na kuamka na kuendelea kutudidimiza kiuchumi.

Tukaeni na hata 2015 haitafika watanyanyua mikono wenyewe! Wataona uongozi wa kung'ang'ania madaraka ni janga kwao!

Natamani maajabu yafanyike hata sasa na nina Imani itatokea tu kabla ya mwaka wanayotarajia wao binafsi!
 
I like the way you hate ccm! 4 sure it is already lost control over the country!time is a signal....
 
Sasa,huku magamba yameanza kurubuni watu,wanakijij na boda boda,cunajua hatuna mbge kw sasa.Wamekuja timu kweli akina Mwari,Nepi,na taka taka nyingne.Mwamko wa wa watu bado ni F.
 
mimi kuna wakati mpaka nakufuru natamani alshabaaby walipue bunge yafe yote maana bora yafe yote ili nchi ibaki salama.
 
Mpende jirani na adui yako alisema Mwanafasafa mmoja miaka kama 2000 iliyopita.
ikitokea umempenda adui yako halafu yeye hakupendi itakuwaje kama maadui wangependana watu wasingejilinda wala kujihami na naamini hata nchi zisingelikuwa na majeshi maana tayari zinapendana na adui zao.msilete injili kwenye maisha ya watu.raha ya upendo uwepo pande zote.
 
hasira huja kwa sababu na ili ziondoke lazima ziwepo sababu za kuziondoa,majanga na shida zikizidi mioyo ya binaadamu huota kutu.
 
Natamka toka nafsini Mwangu!

Naichukia chama tawala mpaka natamani leo hii mwaka 2015 iwe ndiyo kesho asubuhi na nione jeuri yao ikogo wapi kwa hali tuliyonayo kwa sasa Tanzania yetu!

Nasema tena naichukia ccm mpk na kesho naichukia!

Ni hayo tu wanaJF wenzangu!
Jioni Njema!

Mkuu kiukweli hoja yako haijitoshelezi kwa kuchukua tu, ungejazia jazia sababu za wewe kufikia hapo yaani kama ni pilau ingekuwa ina kachumbari na ndizi kabisa tehe tehe tehe.
 
Kuna kijiji kimoja mporoto tukuyu tulikuwa kwenye msiba. zamani kilikuwa ngome ya ccm. ikaanzishwa maada ya kisiasa, nilishangaa sana nilivyoona jinsi watu wanavyoichukia ccm. Chakufurahisha zaidi nipale mtu mmja alipouliza kama mpaka wakati huo pale kijijini kulikuwa na mwanachama yeyote wa ccm. kwanza wote waliitikia kwa pamoja hakuna mtu hata mmoja. Kumbe aliyeuliza swali alikuwa anajua mfiwa ni member wa ccm. Sasa alipoona yeye amekaa kimya, akaamua kumlipua kwa kumtaja hadharani kuwa yeye ni member wa ccm, ee bwana ee!! jamaa aliona aibu kama aliyevuliwa nguo hadharani. Ili kuondokana na aibu ilibidi aeleze kwanini mpaka wakati huo yeye alikuwa bado ni member wa ccm. Siri ya magamba ikafichuka. kumbe walipoona kijiji kizima watu wamehamia chadema walimfuata yeye usiku wakampa pesa ili awe mjumbe wao, anasema alipokea pesa lakini akawa mjumbe kwa staili ya kimya-kimya ili watu wengine wasijue kuwa yeye bado yuko ccm. kwa hiyo siku ile pamoja na kwamba yeye alikuwa ndiye mfiwa, alisimama, akawaomba radhi watu waliokuwepo kwa kitendo chake cha kuwa mwan ccm mpaka wakati huo kana kwamba kuwa member wa ccm ni sawa na kuwa mhalifu, akaahidi mbele ya wote kuwa mara msiba wake ukiisha ataenda kuwarudishia kadi yao pamoja na vitu vyote alivyokuwa akivitumia kwenye kazi ya ujumbe. Tangu siku ile ninauhakika kuwa mabwepande's party mwisho wao UMEFIKA.
 
Natamka toka nafsini Mwangu!

Naichukia chama tawala mpaka natamani leo hii mwaka 2015 iwe ndiyo kesho asubuhi na nione jeuri yao ikogo wapi kwa hali tuliyonayo kwa sasa Tanzania yetu!

Nasema tena naichukia ccm mpk na kesho naichukia!

Mkuu, CCM kama chama hakina kosa lolote, hata misingi na sera zake ni nzuri tu. Sema unachukia matendo ya wengi ya watendaji wake.
 
nimefurahi sana kwa kujua naman gani hamuipendi CCM, mimi sija wahi kuipenda, lakini kuna kitu cha muhimu sana kabla hata ya kuichukia CCM. kwani lengo la kuichukia ni kuhakikisha inatoka madalakani, kuna kitu kinachoniuma sana, leo hihi tunaongozwa na chama ambacho wengi wetu hatukukichagua kwa sababu tu walipewa lidhaa na NEC, sasa tufanye nini cha ziada kama wata chakachua tene 2015? maana wakiisha chakachua wana jisifu wameshinda kwa ushindi wa sunami, tufanyeje kuhakikisha hawachakachui na wakichakachua tufanya nini?
 
Wakuu watu wanasema hiki chama ni cha wazee hapana nakataa kabisa kwani mie ni mzee sana tu sikipendi chama hiki hataa kidogo,sisi tunadai mambo mengi huko sasabasi 2015 tusifanye kosa mimi naona tuwape chadema nchi hii ili tuone mabadiliko MUNGU WABARIKI WAPIGAKURA WOTE
 
Mkuu kiukweli hoja yako haijitoshelezi kwa kuchukua tu, ungejazia jazia sababu za wewe kufikia hapo yaani kama ni pilau ingekuwa ina kachumbari na ndizi kabisa tehe tehe tehe.



Mkuu! Acha tu nifikie hapo kwani ninaweza nikajitafutia BAN bure!

Uwe na wakati mzuri popote ulipo!
 
Yani member kama Ritz,Zomba + ile group lake ktk baadhi ya post zao yote imenizidishia ari ya kuichukia ccm mpaka ninatamani mwaka 2015 iwe ni baadae asubuhi!

Mi cjui hili rika linatoka wapi hapa Tz Bara!

Mmmmmmmhhhh!!!!

Hawa nitawatafakari tena!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom