Filaria
JF-Expert Member
- Jun 28, 2021
- 755
- 2,095
Kama nawewe unayataka njoo nikuuzie Moja buku.Watanzania ni wapumbavu na kujifanya wajuwaji,mwengine anakwambia yatupe ni uchafu,mbumbumbu wa mwisho hayo mawe hayawezi kuwa uchafu yatakuwa na thamani sema ni ndogo.Kesho na keshokutwa wakija wageni wanajiokotea tu utajiri ninyi mnabaki na ujuwaji huku hamna kitu.Mleta mada subiri wataalam watakwambia ni mawe gani na thamani yake.Watanzania punguzeni ujuwaji huku hamjuwi kitu.