Haya ni mataifa matano ambayo mwanamke anaweza kuolewa na wanaume zaidi ya mmoja

Dunia ina maajabu sana, unajigawaje sasa, how can you survive two or more dicks every night hata kama wanapeana zamu bado i can't do that rubish, leo unalala na huyu kesho mwingine what a misserable life? Who will be the owner of your pregnancy? What about the kids watamuita yupi baba na yupi anko, hibi wakikua watakuonaje?

Its better to stay alone kuliko kuolewa na wanaume wengi, unakua kama public toilet
Sharing is caring
 
Inawezekana pia lakini sioni kama inawezekana
Inawezekana kabisa.
Kawaida mtu anaolewa/kuoa ili kupata mahitaji fulani and sex being one of the many needs. Ony in an ideal world mwanaume anaweza kutimiza mahitaji yote kwa mwanamke.

Kiuhalisia mwanaume anaweza kua mzuri kwenye hitaji moja alafu akawa mchovu kwenye hitaji jingine. Anaweza kua provider alafu hasimamishi, au mzuri in bed lakini sio provider sasa inashindikana vipi Ke kuolewa na hawa wawili.
 
Dunia ina maajabu sana, unajigawaje sasa, how can you survive two or more dicks every night hata kama wanapeana zamu bado i can't do that rubish, leo unalala na huyu kesho mwingine what a misserable life? Who will be the owner of your pregnancy? What about the kids watamuita yupi baba na yupi anko, hibi wakikua watakuonaje?

Its better to stay alone kuliko kuolewa na wanaume wengi, unakua kama public toilet
Mila na desturi hutengeneza utamaduni, uko kama ulivyo kutokana na utamaduni ulioukuta
 
Back
Top Bottom