Uongo hii tabia mbaya sana!
inakera sana hii tabia .......janamke la namna hii kuliwa huwa ni rahisi sana ......ukiona mwanamke ana hii tabia jihadhari naye huwa wana element za umalaya ndani yake......mwanamke anayejiheshimu huwa anaishi kwa mipaka na kujitambua ili asimfedheheshe mwanaume wake.......!Kinachonikera kwa mwanamke kupenda kuongea, kuwasiliana, kukaa na kuchekacheka ukijumuisha na kufanyiana masihara nawanaume wengine hata km hana mahusiano nao wa kimapenzi hi tabia inanikera sana niliachanaga na Dem kwa sbabu hii.
Mimi nikishalala na mwanamke lazima anipende mwenyewe maana dozi niitoayo haina mfano. Hivyo basi Sina stress kwa sababu nafahamu kuwa mimi ni mpita njia, siku moja nitakufa.Aipate hii secretarybird
Ila ujue na yeye anachoka. Sidhani kama ataweza kufanya majukumu yake yoteMwanamke unasahau wajibu wako kama mke ndani ya ndoa, eti kisa wote tunafanya kazi? Unaboa sanaaaa