Haya ndiyo yanayotukera sisi wanaume

Haya ndiyo yanayotukera sisi wanaume

Mwanmke kuniringia ringia SIPENDI TENA SIPENDI Yni daaaah cjui nsemeje nakelekwa sna anavyojiona keki, so ndyo maana naamua kuvumilia na ntavumilia ksha akinipa tuu na nikshaifyagia cna time nae
 
Kwa maoni yangu: Huyo sio wako mkuu, yupo kwa maslahi binafsi kabisa japo wewe umempenda kweli
Mh. Conclusion namna hii mara nyingi ndizo zinazowafanya watu wafe na shida zao rohoni!
Hapa hujamsaidia mleta mada kujitazama wajibu wake katika mahusiano, how much ana invest katika mapenzi, maana often wanaume huwa tunadhani demu/mwanamke ukimpa pesa then inatosha kusema kuwa unamjali, kumbe mwenzio wala hapimi mapenzi kwa kiasi cha pesa anachopokea toka kwako!
Anyway, si vema kuhamishia matatizo au lawama kwa mtu mwingine, saa zote tukijadili matatizo ktk mahusiano, huwa inapaswa mtu atazame strengths and challenges from within kabla ya kuhamisha shida kwa mtu mwingine.
mahusisano ni kama kilimo, ukipanda pamba utavuna pamba, ukilima bhangi huwezi kuvuna mahindi!
wahimize watu wajitazame wenyewe kuliko kulaumu wengine!
 
Kazi yeye kulala tu kama "mbwa anasubiri kumezwa na chatu" tukiwa faragha.. Hamna chochote hadi kumpanua "mapaja" nifanye mimi..!!!
Ananikera kila nikimwambia hata habadiliki..!!
Haya hata mimi hunikuta sometimes sema wangu nikimwambia huwa anabadilika kwa kipindi fulani hivi kifupi halafu anajisahau tena
 
Mwanmke kuniringia ringia SIPENDI TENA SIPENDI Yni daaaah cjui nsemeje nakelekwa sna anavyojiona keki, so ndyo maana naamua kuvumilia na ntavumilia ksha akinipa tuu na nikshaifyagia cna time nae

Watakuja kukujibu mkuu..!
 
Nadhani nitajifunza mawili matatu hapa ya muhimu yatakayo nisaidia. Halafu baadae na mimi nitachangia kitu.
 
Ameninunia toka jana kisa eti alinikuta namfunga kiatu shemeji yangu (mdogo wake wa kike)
 
Back
Top Bottom