Haya ndiyo yanayotukera sisi wanaume

Haya ndiyo yanayotukera sisi wanaume

Mnajitakia, sio kweli kama mnakufa kwa sababu ya wanawake ila kwa sababu ya tamaa zenu, mjue tamaa huzaa dhambi na dhambi ndio inayowaua. Mfano mdogo... unajijua una mke na watoto, mimacho kodo kodo unazaa watoto wengine nje. unapoanza kudaiwa matumizi na matunzo yao unaanza kuwaza na mawazo yanakuua. Una mke lakini bado unamtongoza wa jirani yako...ukifumaniwa unajuta na kwa aibu unakufa. Umeshajua mwanamke unayemtaka ana tabia isizozimudu, ila kwa kujionyesha wewe kidume unaoa bila kusita wala kusikiliza ushauri...wewe lazima ufe kabla ya wakati.... unajijua pesa huna lakini unajitutumua hadi unaiba... Endeleeni tu mtakufa kweli....

Unachosema kina ukweli ndani yake Majoto, lakini ukweli ni kwamba wanaume wengi hawawezi kuyaweka bayana hayo yote na hivyo kujiweka kwenye hatari ya "mawazo mpitilizo" na hatimaye kifo
 
1475243494774.jpg
 
Kazi yeye kulala tu kama "mbwa anasubiri kumezwa na chatu" tukiwa faragha.. Hamna chochote hadi kumpanua "mapaja" nifanye mimi..!!!
Ananikera kila nikimwambia hata habadiliki..!!
 
Nashkuru tumebahatika kupat nae mtt ila mdaa mwingin hataki ndoa na mimi[emoji35]
 
Kazi yeye kulala tu kama "mbwa anasubiri kumezwa na chatu" tukiwa faragha.. Hamna chochote hadi kumpanua "mapaja" nifanye mimi..!!!
Ananikera kila nikimwambia hata habadiliki..!!
Teh teh eti kumezwa na chatu
 
Nikikutongoza kama ni no iwe no na kama ni yes iwe yes siyo kumweka mtu pending halafu unapata wivu ukija kumwona na mwingine
 
Naona baada ya kulialia hovyo mmeamua kutenga sehemu maalum ya kulialia....ukijisikia kulialia unakuja hapa unalia!
 
Back
Top Bottom