The nightwalker
JF-Expert Member
- Sep 12, 2025
- 1,154
- 1,528
kama ni ya kweli hayo unayoyasema, wewe ni mmoja ya watu ambao wanamkasirisha mungu kwa makusudi kabisa na kwa kushauri kama ni kweli kaa chini fikiria kwa kina halafu umrudie muumba wako maana siku ukipata ajali ni unaenda hautapona maana hautakuwa na ulinzi wa mungu!! Ila kama vip potezea!Ahahahahaha jamni weee kwann umeghaili sasa na wewe daaah