kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Life is not fair unayempenda hakupendi anayekupenda humpendi...
Huu ni utafiti wangu mdogo usio rasmi niliofanya.
Huu ni utafiti wangu mdogo usio rasmi niliofanya.
Hii ni kweli kabisa, pole Waifu materialLife is not fair unayempenda hakupendi anayekupenda humpendi...
Huu ni utafiti wangu mdogo usio rasmi niliofanya.
good for me, bado sijawa member wa huo ulimwengu!Life is not fair unayempenda hakupendi anayekupenda humpendi...
Huu ni utafiti wangu mdogo usio rasmi niliofanya.
kwahiyo aripotiwe?Hii ni kweli kabisa, pole Waifu material
(ila ID ya 5 hii unabadilisha, nakuzoom tu)
Hii ni kweli kabisa, pole Waifu material
(ila ID ya 5 hii unabadilisha, nakuzoom tu)
Hapana ni utani, napenda kumzingua tu 😅kwahiyo aripotiwe?
Hapana ni utani, napenda kumzingua tu
mapenzi yatakuua mdogo wangu 🤪🤪Life is not fair unayempenda hakupendi anayekupenda humpendi...
Huu ni utafiti wangu mdogo usio rasmi niliofanya.
Na anayenipenda ndiyo mimi, kila akikimbia namfuataAha iD ya fifth anamkwepa ambaye hajampenda?😂
Sio ukuniTafuta pesa
Nimeambiwa siendani na ile ID nikaona isiwe kesi 🥲Hii ni kweli kabisa, pole Waifu material
(ila ID ya 5 hii unabadilisha, nakuzoom tu)
SijazipotezaTafuta pesa
Shindwa pepo, usininenee vibaya tenamapenzi yatakuua mdogo wangu 🤪🤪
C.c Binti wa zamani ebu kaeni chini na huyo mtoto mtapoteza mapemaaa
Kwani hujafikisha miaka 18?good for me, bado sijawa member wa huo ulimwengu!
Acha tu yaani, mateso hayawezi kuisha kwa staili hiiUnayempenda yeye kampenda mwingine huyo nae ana mwingine, mwingine nae kapendwa na mwingine,,, mapenzi ni Kama FOOD CHAIN tu😂
Wakubwa mna faidiMwenzenu naenjoyy
View attachment 3478923