Eti Lissu nae ni mwanasheria? Tanzania inakaza kweli.
Kawaulize Magamba wenzako na Jaji kilaza Werema watakuambia idadi ya mechi walizocheza na Lissu halafu ngapi kati ya hizo Magamba walishinda!!! Watakuambia maana naona hiyo buku 7 unayolipwa hapo Lumumba imekutoa kabisa ufahamu hadi una-post ujuha tu hapa!