THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,365
- 12,823
Kwaiyo hawavuja katiba ya chama??
Umendika mengi lakin sijaona kama uko informed. Pia ni kosa kumispell Jina la mtu!hahahaahaha...kwa speech ya lisu tayari zitto anahujumiwa...eti hatutaki kuweka tuhuma wazi ila si alizozisema zitto na dk.mkumbo...eti ukiwa na nia ya kugombea unaandka barua kwa katibu mkuu hivi kweli kuna kitu kama hicho dunia ipi..et ohh zito ajawahi kuhoji pesa za sabodo na ruzuku kwenye vikao vya chama..sasa atahoji ili nani atekeleze? Mbowe au mkwe wake au vibaraka wa mbowe? Na watueleze ni kwa nini zitto alijitoa kuwa signatory kama si ufisadi wa mbowe na kufanya chama mali yake ikiwemo kukiuzia chama magari chakavu..kukikopesha chama ruzuku kama pesa yake..etc chadema ni saccos ya mbowe na mtei full stop vbaraka wengne wa mbowe njaa zinawasumbua mwsho umefka go zito go zito toa uozo chadema si mama yako wala baba yako..mvuto wa zitto kisiasa na uwezo wake wa kujenga hoja ndio umeifksha chadema pale ilipo toka enzi za buzwagi saga adi leo...chadema masalia wanaoshinda ufipa ni waganga njaa ndio maana mbowe anawawin kirahisi...mbowe si mwanasiasa ni bussines man na silaha anatafta pensheni kwa hili mnyka na umeonyesha udhaifu sana kwa sababu silaha tunajua alishakuwa mtumwa wa mbowe na mtei wewe nawe umeingia uko mnyka kuwa saccos member?
Baada ya 2015 wapinzani wasitaraji kuingia Ikulu kwa mazungumzo, labda kwa kukaribishwa chaiKweli mkuu, kwanza Tundu Lisu kasema hao wamefukuzwa na sio kuwa wameachishwa vyeo vyao tu na kubaki wanachama. Tundu Lisu atakuwa na jambo moyoni mwake limejificha.
hahahaahaha...kwa speech ya lisu tayari zitto anahujumiwa...eti hatutaki kuweka tuhuma wazi ila si alizozisema zitto na dk.mkumbo...eti ukiwa na nia ya kugombea unaandka barua kwa katibu mkuu hivi kweli kuna kitu kama hicho dunia ipi..et ohh zito ajawahi kuhoji pesa za sabodo na ruzuku kwenye vikao vya chama..sasa atahoji ili nani atekeleze? Mbowe au mkwe wake au vibaraka wa mbowe? Na watueleze ni kwa nini zitto alijitoa kuwa signatory kama si ufisadi wa mbowe na kufanya chama mali yake ikiwemo kukiuzia chama magari chakavu..kukikopesha chama ruzuku kama pesa yake..etc chadema ni saccos ya mbowe na mtei full stop vbaraka wengne wa mbowe njaa zinawasumbua mwsho umefka go zito go zito toa uozo chadema si mama yako wala baba yako..mvuto wa zitto kisiasa na uwezo wake wa kujenga hoja ndio umeifksha chadema pale ilipo toka enzi za buzwagi saga adi leo...chadema masalia wanaoshinda ufipa ni waganga njaa ndio maana mbowe anawawin kirahisi...mbowe si mwanasiasa ni bussines man na silaha anatafta pensheni kwa hili mnyka na umeonyesha udhaifu sana kwa sababu silaha tunajua alishakuwa mtumwa wa mbowe na mtei wewe nawe umeingia uko mnyka kuwa saccos member?
Katika kosa la tatu, wanadaiwa kutoa tuhuma juu ya viongozi wenzao bila kupitia vikao halali na utaratibu wa ngazi zilizowekwa, kinyume na kanuni ya 10.1 (X).
Mungi Mkuu nikiunganisha vifungu 2,3,4 kuweka wazi ni kushirikiana na CCM kuihujumu
CHADEMA, pamoja na kugawa pesa kujenga uchochezi kudhoofisha chama!! Hizo mbinu za kuwashambulia viongozi wa juu
tukiwa kwenye mapambano ni kudhoofisha chama!!
Piga chini wasaliti tusonge mbele na Ukombozi wa wanyonge!!
acheni kujitoa ufahamu kwa makusudi, hivi unataka kusema kama akina Nape na Mwigulu wakipanga mapinduzi ya kumngoa Kikwete kwenye uenyekiti kwa madai kwamba ana akili ndogo waataachwa waendelee kuwa viongozi wa Ccm kwa kuwa kikwete ni mvumilivu? msitulishe ujinga, nampenda sana Zitto na nisingependa afukuzwa Chadema lakini ni ukweli kwamba Zitto ni mwiba kwenye miguu ya Chadema anapaswa abadilike sana kama anataka kukubalika na wanamageuzi wenzakesipati picha ndugu mbowe angekuwa ndio mheshimiwa rais wa jamhuri ya muungano.kwa majina ya kejeli anayopewa kikwete,nadhani nusu ya CCM ingekuwa imefukuzwa chama.
hapa chadema wakubali wamechanganya mambo.hata ZITTO na KITILA wangemponda vipi mwenyekiti,hizi sio firm grounds za dismissal.sasa kama ZITTO anaona mwenyekiti ana elimu ndogo asemeje?aseme mwenyekiti ni PhD holder?hapa chadema wanajaribu kujenga chama cha ndio mzee all the way.
sikubaliani na ukosaji ustaarabu wa zitto na mwenzie kama wamewaita hivyo,lakini kuna sababu ya msingi kwa nini wameufanya waraka ule uwe siri,sidhani kila mmoja wetu hapa angeambiwa aweke hadharani jinsi anavyomfikiria kikwete mbele yake kuna ambaye angeikosa jela kwa kosa la kumdhalilisha mkuu wa nchi.
MBOWE hakutakiwa kupekenyua kufahamu zitto anamchukuliaje,yeye kama kiongozi alitakiwa alifahamu hilo mapema.kuhusu-ku-conspire kuweza kum-replace mbowe kuwa mwenyekiti,hapa naona chadema wamehamaki.kwani kilichokuwa kinafanywa na ZITTO na wenzie ni power consolidation.
kwa siasa zetu za kibongo hii bado sana,lakini sidhani kama inastahili kufukuzana uongozi.yeye mbowe alitakiwa afahamu natural ascendance ya katibu mkuu msaidizi ni aidha katibu mkuu kamili,makamu mwenyekiti au mwenyekiti
sasa kama alikuwa anadhania ZITTO anampango wakutoka katibu mkuu msaidizi kwenda kuwa mjumbe wa shina la chadema,basi si vibaya akikubali kuitwa akili ndogo
kama kiongozi hata kama nikweli kiongozi mwenzako Ana madhaifu sio busara, sio hekima, sio uungwa na si UTARATIBU sahihi kuandika hekaya za hovyo zenye kupanda chuki na utovu wa nidhamu kwa uongozi na matabaka flani flani ndani ya chombo au jamii husika. Mh. Zitto na wenzake hapa WALIKOSEA! Na hakuna mjadala kuhusu hilo. Hapa wange fuata taratibu zote walizo pewa na CC, ilikufunga mjadala huu,. Kwa Mh. Zitto mtu wa kazi aliyo ifanyia Tanzania na Chadema hii ni AIBU!!!!Na furahishwa sana na siasa za hawa watu, kwani ukisema kiongozi wa chama chetu ni mzito, na akili ndogo sioni kama hapo akisema ana kipenda chama ni kosa kwa kuwa yeye ana penda chama ila hafurahishi na mtawala kwenye chama anaona hana sifa za kuongoza, hilo haliondoi mapenzi yake kwenye chama hebu tusiwe tuna sifia hoja mfu kwa madai kuwa fulani amesema, hata Lisu na yeye uchambuzi wake mara nyininge huwa haupo sawa .
Unaweza sema nchi yangu ni masikini sana tena umasikini wake ni wa kutisha na sifurahishwi nao ila naipenda nchi yangu huwezi kuwa umefanya kosa kwa kuwa ulicho kisema ndio sahihi, kwahiyo ni kweli mwenyekiti wa chama si msomi, pia hawezi kujieleza vizuri na ni mzito kufanya maamuzi then kwanini mfiche jambo hili wakati ndio ukweli halisi.
Cha ajabu sisi wana chadema hatutaki kusikia wala kukemea maovu ya Mbowe.
Ndiyo tatizo la watanzania mtu anaelimu ndogo anataka kuitwa anaelimu kubwa mambo gani haya.
Nimegundua ni vigumu kwa Zitto na Kitilla kusalimika baada ya kusoma kauli hii iliyotolewa na Lissu kwa waandishi jana.
Habarileo limemnukuu Lissu kama ifuatavyo:
"Waraka huu umetoa matusi mazito dhidi ya Mwenyekiti wetu,ikiwamo kuitwa kuwa ana elimu ya chini na ana akili ndogo na nzito,halafu mtu huyo huyo alietoa matusi hayo dhidi ya kiongozi wake wa chama anadai eti anakiheshimu chama,kwa hili tumewashitukia,"alisema.
Ndugu mwana JF kama kweli hii ndio kauli kwenye waraka huo kuna kusalimika hapa?
Ni vigumu kwa Zitto na Kitila kusalimika kuliko ilivyo vigumu kwa Ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.