Umetiwa kidole jichoni..![emoji12] [emoji12] [emoji12]Duuuuuuh hali ni mbaya kwelikweli
Mmh![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kama huelewi usisite kuuliza .....kwani kuuliza si ujinga...na mara nyingine ni ujinga ...lakini nitamsaidieni enyi kizazi kilichopotea.
Tume tekwa mawazo na fikra, hasa kwa matumizi ya mambo ya utandawazi, kwa mfano kama unavyo ona jamaa anavyo weka akili na umakini kwenye sim hapoMkuu, unaweza ukatolea malelezo kidogo picha no 2?