Haya ndiyo maajabu ya kivuli chako

Haya ndiyo maajabu ya kivuli chako

Kivuli ni muonekano halisi wa Roho yako au nafsi. Kiroho wewe halisi ni yule wa kwenye kivuli.

Yani unasoma,unakula unafanya kazi n.k, basi hizi kazi zote ni kivuli.

Kifupi kwamba kile kivuli ni wewe.

Unapozungumzia kivuli, jua kwamba unazungumzia elimu ya mwanga.

Mwanga kazi yake kuu ni kuangaza kwenye Kiza na kutoa taswira halisi.

Binadamu, anapopigwa na jua kupitia mwanga wa jua ambao ndani yake inanguvu iitwayo NOSEMIRROR.

Tabia ya NOSEMIRROR ni kunyonya asili ya kitu na kukitoa Kama picha.

Hivyo binadamu anapopigwa na jua, nosemirror unyonya asili ya binadamu yule na kumtoa Kama kivuli. Hii ni tabia ya mwanga ambao kiasili huonyesha nature ya kitu.

Mfano, jini akijibadilisha hata kuwa nani lakini ukiangalia kivuli utaona asili ya umbile lake kamili. Sisi binadamu tuna cover la milele isipokuwa majini hawana cover utumia kubadili macover.

Hivyo sisi tukipigwa na jua ndo tunaonekana kilicho ndani ya cover hili na hata jini abadilike kuwa nani akipigwa na mwanga taswira itakayo toka ni ya kitu kilichopo ndani ya cover.

Na hii ndiyo sababu inayofanya majini wakae ndani mwetu na pia watembee usiku na wakitembea mchana wajitande ili kuficha uasilia wao.

Kivuli, picha, nk ndiyo wewe, ndomana jini kwenye kioo,camera na kivuli huonekana live.

Pia nguvu hii ya Mwanga unaweza kuitumia na kuona kivuli cha mwenzio na kilichopo ndani yake.

NB:
Chukua kioo weka kwenye safuria au beseni au chombo chochote kisha weka maji, halafu jiangalie. Kisha ulete mrejesho hapa
...msi coplicate mambo. Jua na mwezi ndio vinavyotoa mwanga wa kuja duniani.
Chochote kitakachokaa katikati kitazuia mwanga. Ndio kivulia cha hicho kilichozuia mwanga huonekana!
Msi complate sana haya mambo... hata pasipokuwa na haja ya kuko mplicate!!
 
Bwana mdogo elewa kuwa kitu chochote kile ambacho ni physical, kikimulikwa na mwanga ni lazima kitoe kivuli to the opposite side of the source of light.

Sasa ukituambia eti kivuli cha Mwanadamu ndiyo roho yake unatudanganya na sisi wenye akili zetu huwa hatukubali kudanganywa.
Dah! Mbavu zangu jamanii!!
 
Unajua hapo kilichichanganya Watanganyika ni hilo neno NOSEMIRROR....kwi kwi kwi
 
Alafu hawaleti mrejesho
Halafu wewe acha mambo ya kale bhana...kha!

Dunia imebadilika, technology ndio inaendesha ulimwengu wa leo.
Hata hicho kioo ni zao la sayansi ya kisasa.

Hii elimu unayoleta hapa imeshindwa kabisa kuleta matokeo chanya kwenye maisha...sana sana inajenga hofu, wasiwasi na kutojiamini, vitu ambavyo vinarudisha nyuma maendeleo ya binadamu.
 
Kwa hiyo nyumba ikipigwa na jua tunaona kivuli cha nyumba ambacho ni roho ya nyumba??

Au gari likipigwa na jua kile kivuli cha gari ndiyo roho ya gari??

Kijana, acha kutulisha matango pori.
Umwniwahi .hata nguzo ya umeme .mti mkavu.bati likisimamishwa ikipigwa na jua linatokea kivuli je ndio roho yake?kwa mantiki hiyo kila kitu kina roho .
 
Kivuli ni muonekano halisi wa Roho yako au nafsi. Kiroho wewe halisi ni yule wa kwenye kivuli.

Yani unasoma,unakula unafanya kazi n.k, basi hizi kazi zote ni kivuli.

Kifupi kwamba kile kivuli ni wewe.

Unapozungumzia kivuli, jua kwamba unazungumzia elimu ya mwanga.

Mwanga kazi yake kuu ni kuangaza kwenye Kiza na kutoa taswira halisi.

Binadamu, anapopigwa na jua kupitia mwanga wa jua ambao ndani yake inanguvu iitwayo NOSEMIRROR.

Tabia ya NOSEMIRROR ni kunyonya asili ya kitu na kukitoa Kama picha.

Hivyo binadamu anapopigwa na jua, nosemirror unyonya asili ya binadamu yule na kumtoa Kama kivuli. Hii ni tabia ya mwanga ambao kiasili huonyesha nature ya kitu.

Mfano, jini akijibadilisha hata kuwa nani lakini ukiangalia kivuli utaona asili ya umbile lake kamili. Sisi binadamu tuna cover la milele isipokuwa majini hawana cover utumia kubadili macover.

Hivyo sisi tukipigwa na jua ndo tunaonekana kilicho ndani ya cover hili na hata jini abadilike kuwa nani akipigwa na mwanga taswira itakayo toka ni ya kitu kilichopo ndani ya cover.

Na hii ndiyo sababu inayofanya majini wakae ndani mwetu na pia watembee usiku na wakitembea mchana wajitande ili kuficha uasilia wao.

Kivuli, picha, nk ndiyo wewe, ndomana jini kwenye kioo,camera na kivuli huonekana live.

Pia nguvu hii ya Mwanga unaweza kuitumia na kuona kivuli cha mwenzio na kilichopo ndani yake.

NB:
Chukua kioo weka kwenye safuria au beseni au chombo chochote kisha weka maji, halafu jiangalie. Kisha ulete mrejesho hapa
mzee baba umeupiga mwingi.ila hapa kwenye majini naomba mwogozo wa kujitosheleza tafazali.ama kama kuna uzi ambao ushawahi kuandika nielekeze wapi nika view bob.
 
kilichonifurahisha kuna watu walikuwa wanapingana na mleta mada hapo juu,ila walipoambiwa tu wajaribu hilk jaribio la kioo kwenye maji ule usiku kila mtu alipotea tukakosa wa mfano chezea uchawi wew alafu unakaa ghetto peke yako
hahahhahaha kaka nipo kwenye dala dala now.naonekana chizi kwa coment za watu mana zinachekesha kinoma
 
Kivuli ni muonekano halisi wa Roho yako au nafsi. Kiroho wewe halisi ni yule wa kwenye kivuli.

Yani unasoma,unakula unafanya kazi n.k, basi hizi kazi zote ni kivuli.

Kifupi kwamba kile kivuli ni wewe.

Unapozungumzia kivuli, jua kwamba unazungumzia elimu ya mwanga.

Mwanga kazi yake kuu ni kuangaza kwenye Kiza na kutoa taswira halisi.

Binadamu, anapopigwa na jua kupitia mwanga wa jua ambao ndani yake inanguvu iitwayo NOSEMIRROR.

Tabia ya NOSEMIRROR ni kunyonya asili ya kitu na kukitoa Kama picha.

Hivyo binadamu anapopigwa na jua, nosemirror unyonya asili ya binadamu yule na kumtoa Kama kivuli. Hii ni tabia ya mwanga ambao kiasili huonyesha nature ya kitu.

Mfano, jini akijibadilisha hata kuwa nani lakini ukiangalia kivuli utaona asili ya umbile lake kamili. Sisi binadamu tuna cover la milele isipokuwa majini hawana cover utumia kubadili macover.

Hivyo sisi tukipigwa na jua ndo tunaonekana kilicho ndani ya cover hili na hata jini abadilike kuwa nani akipigwa na mwanga taswira itakayo toka ni ya kitu kilichopo ndani ya cover.

Na hii ndiyo sababu inayofanya majini wakae ndani mwetu na pia watembee usiku na wakitembea mchana wajitande ili kuficha uasilia wao.

Kivuli, picha, nk ndiyo wewe, ndomana jini kwenye kioo,camera na kivuli huonekana live.

Pia nguvu hii ya Mwanga unaweza kuitumia na kuona kivuli cha mwenzio na kilichopo ndani yake.

NB:
Chukua kioo weka kwenye safuria au beseni au chombo chochote kisha weka maji, halafu jiangalie. Kisha ulete mrejesho hapa
Wengine husema, eti mtu akifa, kivuli chake hakionekani (kwenye vyanzo vyote vinavyoleta image; mwanga wa jua, taa, nk). Je, hii ni kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom