Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 3,907
- 6,700
Kivuli ni muonekano halisi wa Roho yako au nafsi. Kiroho wewe halisi ni yule wa kwenye kivuli.
Yani unasoma,unakula unafanya kazi n.k, basi hizi kazi zote ni kivuli.
Kifupi kwamba kile kivuli ni wewe.
Unapozungumzia kivuli, jua kwamba unazungumzia elimu ya mwanga.
Mwanga kazi yake kuu ni kuangaza kwenye Kiza na kutoa taswira halisi.
Binadamu, anapopigwa na jua kupitia mwanga wa jua ambao ndani yake inanguvu iitwayo NOSEMIRROR.
Tabia ya NOSEMIRROR ni kunyonya asili ya kitu na kukitoa Kama picha.
Hivyo binadamu anapopigwa na jua, nosemirror unyonya asili ya binadamu yule na kumtoa Kama kivuli. Hii ni tabia ya mwanga ambao kiasili huonyesha nature ya kitu.
Mfano, jini akijibadilisha hata kuwa nani lakini ukiangalia kivuli utaona asili ya umbile lake kamili. Sisi binadamu tuna cover la milele isipokuwa majini hawana cover utumia kubadili macover.
Hivyo sisi tukipigwa na jua ndo tunaonekana kilicho ndani ya cover hili na hata jini abadilike kuwa nani akipigwa na mwanga taswira itakayo toka ni ya kitu kilichopo ndani ya cover.
Na hii ndiyo sababu inayofanya majini wakae ndani mwetu na pia watembee usiku na wakitembea mchana wajitande ili kuficha uasilia wao.
Kivuli, picha, nk ndiyo wewe, ndomana jini kwenye kioo,camera na kivuli huonekana live.
Pia nguvu hii ya Mwanga unaweza kuitumia na kuona kivuli cha mwenzio na kilichopo ndani yake.
NB:
Chukua kioo weka kwenye safuria au beseni au chombo chochote kisha weka maji, halafu jiangalie. Kisha ulete mrejesho hapa