Haya ndiyo maajabu ya kivuli chako

Kivuli ni muonekano halisi wa Roho yako au nafsi. Kiroho wewe halisi ni yule wa kwenye kivuli.

Yani unasoma,unakula unafanya kazi n.k, basi hizi kazi zote ni kivuli.

Kifupi kwamba kile kivuli ni wewe.

Unapozungumzia kivuli, jua kwamba unazungumzia elimu ya mwanga.

Mwanga kazi yake kuu ni kuangaza kwenye Kiza na kutoa taswira halisi.

Binadamu, anapopigwa na jua kupitia mwanga wa jua ambao ndani yake inanguvu iitwayo NOSEMIRROR.

Tabia ya NOSEMIRROR ni kunyonya asili ya kitu na kukitoa Kama picha.

Hivyo binadamu anapopigwa na jua, nosemirror unyonya asili ya binadamu yule na kumtoa Kama kivuli. Hii ni tabia ya mwanga ambao kiasili huonyesha nature ya kitu.

Mfano, jini akijibadilisha hata kuwa nani lakini ukiangalia kivuli utaona asili ya umbile lake kamili. Sisi binadamu tuna cover la milele isipokuwa majini hawana cover utumia kubadili macover.

Hivyo sisi tukipigwa na jua ndo tunaonekana kilicho ndani ya cover hili na hata jini abadilike kuwa nani akipigwa na mwanga taswira itakayo toka ni ya kitu kilichopo ndani ya cover.

Na hii ndiyo sababu inayofanya majini wakae ndani mwetu na pia watembee usiku na wakitembea mchana wajitande ili kuficha uasilia wao.

Kivuli, picha, nk ndiyo wewe, ndomana jini kwenye kioo,camera na kivuli huonekana live.

Pia nguvu hii ya Mwanga unaweza kuitumia na kuona kivuli cha mwenzio na kilichopo ndani yake.

NB:
Chukua kioo weka kwenye safuria au beseni au chombo chochote kisha weka maji, halafu jiangalie. Kisha ulete mrejesho hapa

nmejiangalia ila nmejiona mimi kawaida tu!

tofauti ni kua image inacheza cheza sababu maji yalikua yanachezacheza!

au inatakiwa ufanye katika muda specific!? kama ni muda specific muda gan!?

otherwise kuna matango pori! ishu watu ni waoga sana, wengi wameogopa hata kujaribu!
 
Wengine husema, eti mtu akifa, kivuli chake hakionekani (kwenye vyanzo vyote vinavyoleta image; mwanga wa jua, taa, nk). Je, hii ni kweli?
Maiti ya mtu aliyekufa kihalali, ukiisimamisha juani, hutokiona kivuli chake.

Ila maiti ya mtu aliyeuliwa kimazingara, ukiisimamisha juani, kivuli chake kinaonekana.
Nimeshaona sehemu kadhaa mpaka nilishangaa na sijajua sababu ni nini mpaka leo.
 
Mpaka ilo zoezi linafanyika mlikuwa mnataka kufanya nini yani mpaka wasimamishe maiti juani
 
kilichonifurahisha kuna watu walikuwa wanapingana na mleta mada hapo juu,ila walipoambiwa tu wajaribu hilk jaribio la kioo kwenye maji ule usiku kila mtu alipotea tukakosa wa mfano chezea uchawi wew alafu unakaa ghetto peke yako
Hahahaha
 
Kivuli ni muonekano halisi wa Roho yako au nafsi. Kiroho wewe halisi ni yule wa kwenye kivuli.

Yani unasoma,unakula unafanya kazi n.k, basi hizi kazi zote ni kivuli.

Kifupi kwamba kile kivuli ni wewe.

Unapozungumzia kivuli, jua kwamba unazungumzia elimu ya mwanga.

Mwanga kazi yake kuu ni kuangaza kwenye Kiza na kutoa taswira halisi.

Binadamu, anapopigwa na jua kupitia mwanga wa jua ambao ndani yake inanguvu iitwayo NOSEMIRROR.

Tabia ya NOSEMIRROR ni kunyonya asili ya kitu na kukitoa Kama picha.

Hivyo binadamu anapopigwa na jua, nosemirror unyonya asili ya binadamu yule na kumtoa Kama kivuli. Hii ni tabia ya mwanga ambao kiasili huonyesha nature ya kitu.

Mfano, jini akijibadilisha hata kuwa nani lakini ukiangalia kivuli utaona asili ya umbile lake kamili. Sisi binadamu tuna cover la milele isipokuwa majini hawana cover utumia kubadili macover.

Hivyo sisi tukipigwa na jua ndo tunaonekana kilicho ndani ya cover hili na hata jini abadilike kuwa nani akipigwa na mwanga taswira itakayo toka ni ya kitu kilichopo ndani ya cover.

Na hii ndiyo sababu inayofanya majini wakae ndani mwetu na pia watembee usiku na wakitembea mchana wajitande ili kuficha uasilia wao.

Kivuli, picha, nk ndiyo wewe, ndomana jini kwenye kioo,camera na kivuli huonekana live.

Pia nguvu hii ya Mwanga unaweza kuitumia na kuona kivuli cha mwenzio na kilichopo ndani yake.

NB:
Chukua kioo weka kwenye safuria au beseni au chombo chochote kisha weka maji, halafu jiangalie. Kisha ulete mrejesho hapa
Umetisha...

Kama ulifanya hivyo na ukaona taswira imekuwa distotred (imepotoka), walishagungua hivi , kina Ibn Sahil kutoka Uajemi 984. ndio kina Snells law wakacopy na kuitwa hii kanuni
1626612558278.png
1626612719979.png

Hivyo binadamu anapopigwa na jua, nosemirror unyonya asili ya binadamu yule na kumtoa Kama kivuli. Hii ni tabia ya mwanga ambao kiasili huonyesha nature ya kitu.
Hapa nenda kajifunze Umbra and Penumbra
1626613062974.png
 
Back
Top Bottom