immasakha
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 489
- 281
Ndio soma combination mzima, lkn mkuu hp ikiona masomo matatu yanachosha kaba masomo mawili panga panguaUnamaanisha nisome comb nzima mkuu.? Somo moja hawaruhusu,?
Ndio soma combination mzima, lkn mkuu hp ikiona masomo matatu yanachosha kaba masomo mawili panga panguaUnamaanisha nisome comb nzima mkuu.? Somo moja hawaruhusu,?
na walakini na ulichokisema hapa vigezo vimebadilishwa mwaka jana wew umefanya mtihani wa kidato cha sita lini....Na nilikuwa na diploma ya GPA2.8 Nikawa cna vigezo nkarudia pepa mungu c at human nkafauru vzr kabisaa,uckate tamaa mungu yupo na anatazama hitaji LA moyo wako atakutetea na kukusaidia tu (ucvunjike moyo) na nakuombea ucbadili mawazo ya kusoma
Nenda Uganda tu.mm Nina Diploma ya GPA 3.4 nimekosa nafasi .Mkuu Niko tayari kuanza.nategemea mwaka huu nijisajili mwaka kesho nifanye mtihani na ikiwezekana mwaka huo niunge university hebu nisaidie ndugu
Amani iwe kwenu wapendwa,
nilikuwa na malengo ya kuanza masomo yangu ya elimu ya chuo kikuu mwaka huu lakini kutokana na matokeo yangu na kuongezwa kwa alama za kujiunga na chuo kikuu nimekosa cha kufanya wapendwa naomba mnipanue mawazo kwa hili
Kidato cha sita nina daraja la tatu pointi 14 yaani nina DEE Masomo ya sanaa na wakati huo chuo kikuu wanataka D mbili
Diploma yangu ya sheria nina GPA ya 2.9 ambapo ili ujiunge na chuo wanataka GPA Ya 3, ikumbukwe kuwa waziri wa katiba na sheria ametupa muda wa miaka mitano mahakimu wote wenye diploma tuwe tumejiendeleza,je nifanyeje wapendwa, naona kama kazi yangu inaenda kunikimbia
Vipi nikisema nirudie somo moja hapo kutafuta D moja naweza sajiriwa chuo kikuu?
Duuh sasa mnatupa Kazi ngumu nyie jamaa
Hizo GPA tunajua sio ishara ya uelewa ila linapokuja suala la kitaaluma aisee ulitakiwa kutusua hata 3.8 tu sasa ona unataka tushiriki kukushauri kitu ambacho hakiwezekani
Labda nenda urudie paper la six upate principal pass moja wanayotaka ili ziwe D mbili
Ila six msuli wake sina hamu nao kabisa
Nimefanya mtihan last year na hiyo ilikuwa advance kwangu ni kama mungu aliniongoza vile na baada ya kubadili mwelekeo wizara ya elimu ckupata shida cause Tatar nilikuwa na matokeo mengine nikatumia hayo ya kidato cha sita.na walakini na ulichokisema hapa vigezo vimebadilishwa mwaka jana wew umefanya mtihani wa kidato cha sita lini....
umenigusa hapo kwenye msuli wa six dah yani ningefeli enzi uzo kamwe nisingerudia paper maana nilijitoa kutusuabna nisingetusua basi nisingeweza kutusua tena Mungu mkubwa nikatusua
Hongera mkuuNimefanya mtihan last year na hiyo ilikuwa advance kwangu ni kama mungu aliniongoza vile na baada ya kubadili mwelekeo wizara ya elimu ckupata shida cause Tatar nilikuwa na matokeo mengine nikatumia hayo ya kidato cha sita.
Nafikili jibu lake limepatikana hapa .Mm nakushauri nenda hata kenya au uganda ukasome iyo degree yko kwa hiyo hiyo gpa. Kwa vyuo vya ndani hautakubaliwa kwa sasa coz TCU wanataka 3.0
Weka yako! Huna lolote siyo ajabu hata ya 2 tu hunaKUNA WATU VILAZA, 2.9?
Acha kupotosha umma ww nani kakwambia ukisoma nje eg Uganda ukirudi degree yako haikubaliki na TCU kuna proces za kufuata ili itambulike ndani ya Tz na TCU wenyewe wanathibitisha,ila usidanganye kwa kitu ambacho ukijui.Labda kurudia paper la six au uende chuo cha nje mkuu sasa hata ukienda kusoma nje ukija bongo TCU watakwambia degree yako sio valid maana hukua na sifa, kumbuka wale wanaokimbilia Uganda ilihali Form four wamefeli, wakitoka huko na One zao za form six wanakataliwa hapa Tz maana hawakua na sifa za kusoma advance
Soma post yangu vizuri uone kama nimepotosha au wewe ndo umekurupuka kujibu usichokielewa.Acha kupotosha umma ww nani kakwambia ukisoma nje eg Uganda ukirudi degree yako haikubaliki na TCU kuna proces za kufuata ili itambulike ndani ya Tz na TCU wenyewe wanathibitisha,ila usidanganye kwa kitu ambacho ukijui.
Rudi shule mkuu katafute diploma nyingine, kusoma kunahitaji moyo hasa ukiwa tzMkuu ngoja nikuweke sawa,mitayari nina diploma ya sheria ya GPA Ya 2.9 na kidato cha sita nina dvn 3 ya 14 hivo naomba namna ya kwenda chuo kikuu ndugu